Huu upuuzi ulianza kusambaa tangu mwez July 2016,HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016
1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000
PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.
NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
umejitahidi kunyegesha watuHiyo Kitu Ni Ya Kweli Kabisa Kuna Jamaa Yangu Anafanya Kazi Ktk Halmashauri Flani Upande Wa LAWSON huu waraka wanao tayari na kila halmashauri kwa uhakika zaidi tafuta mtu yoyote anayefanya kazi kitengo hicho ktk halmashauri yako
Ngoja Jamaa Akinipa Napiga Picha Naweka Hapa Labda Na Yeye Awe Amenidanganyasi kweli. hakuna waraka huo
sahau hiyo mdau serikali taabani kifedha halafu wafanye hivyo?
hao kina kairunini sijui na mwenzie ndo wanamwitaga simbamchamwene nikiwaona naswitch satation. uoga tu uongoongo wa kisiasa umewajaa. hamna lolote, hofu na nidhamu za woga. hainiingii akilini ministers wakubwa wanashindwa kuamua ili hali uhaba wa watumishi kwenye sekta za afya na elimu ni mkali. hata kumshinikiza prezdaa aachie kibali hawathubutu, ili mradi tu ugali wao uwe salama!endelea kujitia moyo!!!? uhakik bado unaendelea hujamsikia kairuki kasema angalau had mwez wa kumi na moja...ndo unaweza kuisha..
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016
1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000
PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.
NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
hivyo vijikaratasi niliviona havina alama zozote za kiserikali ili kuonesha kweli ni original. ni kama watu wameprint hivi kimagumashiNgoja Jamaa Akinipa Napiga Picha Naweka Hapa Labda Na Yeye Awe Amenidanganya
Wewe ndiye uliyechoka huenda wewe ni mwendesha bodaboda ya mkopo wa kura Kwa aliyeshindwa mwenye nywele nyeupe.ACHA AKILI TOPE HAKUNA KITU KAMA HICHO HII NCHI HAINA PESA NA MISHAHARA HIYO ITAONGEZWA KUPITIA BAJETI GANI,? CCM IMECHOKA HAKUNA JIPYA ZAIDI YA MATAMKO