SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Ni vigumu sana kutengeneza controls ambazo zinaweza kukabiliana na wizi/ufisadi(fraud) ambao unashirikisha watendaji mbalimbali katika mlolongo mzima wa maamuzi/ulipaji.
Hata kama itatakiwa aende mtu mwenyewe bado "ghost" workers watakuwepo na watachukua hizo pesa kama wahusika katika mchakato mzima wa wizi huo wanashirikiana (kuanzia huko hazina kwenyewe mpaka kwenye kituo husika cha ulipaji/kazi).