T TANURU Senior Member Joined Jan 13, 2010 Posts 162 Reaction score 9 Feb 10, 2010 #1 Wakuu, Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila Profesa kwa mwezi.
Wakuu, Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila Profesa kwa mwezi.