Mishahara hewa kwenye idara za Serikali

Hayo matumizi ya ofisi yanagharamiwa na own source collections acha fix zako
Nawe unawaza Halmashauri tuuuu,,,sasa hio own source kwa ofisi kama ya takwimu itapatikana wapi sasa?
 
Unaweza kuwa sawa lakini kwa nini watumie pesa za wafu na serikali kuonekana ina lundo la wafanyakazi wakati ukweli siyo huo? Je walikuwa wakitoa taarifa kwamba zimekuja fedha za watu ambao hawapo kazini na tumezitumia kwa matumizi mengineyo?
I see! Kwanza ni kitu kisichowezekana kuchukuwa mshahara wa mtu mwingine! This is immoral and unethical kabisa, hakuna mtu anaweza kuhalalisha hili, halina maadili kabisa, kwani, unawezaje kuhakikisha kwamba pesa yote imetumika vizuri, so anataka kutwambia kwamba hata wakaguzi wamekuwa wakidanganywa daima???

Halafu, unataka pesa ingine itumike, ipotee ati kuchunguza, hii haitakaa ieleweke ndugu, Please, don't bring this for any discussion, it is immoral.
 
Najua hakika haipo, nimekupa situation a CEO finds himself in , what would you have done if it were you na pesa inakuja kwa aliyekuwa mfanyakazi wako amestaafu na.mshahara wake unakuja. Unanunua umeme ofisi itoke kwenye giza mradi hukuziweka mfukoni au kununua chai ya ofisi
 
Mkuu sijakuelewa
 
Mkuu sijakuelewa
 
Mkuu sijakuelewa
 
wizi mtupu ....ukiona mtumishi wa umma anasema "nimenunua hiki kwa pesa yangu kwa matumizi ya ofisi ya serikali" ujue ni jipu uchungu mwizi mzoefu.atumbuliweeeeee
 

Mkuu, mishahara haiwezi kuingia kwenye OC. Labda kuwe na kibali maalum cha hazina tena kwa muda mfupi tu. Mishahara hewa ipo lakini ni mtandao wa watu wengi. Wahasibu, maafisa utumishi, wakuu wa vitengo nk na wafanyakazi wachache wanaotumiwa (kulipwa) ili baadaye wagawe kwa wengine aho wengine.

Umesikia ya mtu kulipwa mishahara 17? Lazima alikuwa anasambaza kwa wengine waliowezesha mpango huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…