CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Unaweza kuwa sawa lakini kwa nini watumie pesa za wafu na serikali kuonekana ina lundo la wafanyakazi wakati ukweli siyo huo? Je walikuwa wakitoa taarifa kwamba zimekuja fedha za watu ambao hawapo kazini na tumezitumia kwa matumizi mengineyo?Ninachojua ni kuwa hakuna aliyekuwa anaweka hela mfukoni. Ni kuwa kwa vile serikali ilikuwa haileti OC au inaleta OC kidogo sana kulinganisha na mahitaji, katika idara zake, basi idara walikuwa wanatumia fedha hizo kulipia umeme, maji etc, in short kuendesha ofisi. Kama kuna mishahara hewa ilikuwa inaliwa na watu ofisini basi ni kidogo sana. I STAND TO BE CORRECTED
Ninachojua ni kuwa hakuna aliyekuwa anaweka hela mfukoni. Ni kuwa kwa vile serikali ilikuwa haileti OC au inaleta OC kidogo sana kulinganisha na mahitaji, katika idara zake, basi idara walikuwa wanatumia fedha hizo kulipia umeme, maji etc, in short kuendesha ofisi. Kama kuna mishahara hewa ilikuwa inaliwa na watu ofisini basi ni kidogo sana. I STAND TO BE CORRECTED
Ha ha ha ....mkuu hiyo sababu sio kabisa..hizi hela zilikuwa zinapigwa tena na watu wawili au watatu tu...kama wewe ni mzoefu huko halmashauri utawajua....Nakubali uliyoyaandika. Lkn hunipi OC na hela kama hiyo imekkuja, nifanyeje na umeme umezimwa
Kwa serikali kuu ni oc ndo inaendesha ofisi na huko huwezi kukuta wafanyakazi hewa, halmashauri wana vyanzo vya ndani hukk ndiio kuna tatizo la wafanyakazi hewaPachoto ulizia maji, umeme, simu usafi gharama zake zinatoka wapi katika idara za serik as li. Acha ubishi wa kitoto