Mishahara: Halmashauri ipi tayari?

Mishahara: Halmashauri ipi tayari?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
Tujuzane hapa wakuu, pamoja na mambo ya kampeni mishahara ni sensitive matter
 
tumewakopesha ccm... kuweni wavumilivu tuwalipe
 
Pesa zote chama kimebeba kupeleka kwenye kampeni, hivyo msubiri hadi jamaa atakaporudi kama atafanikiwa kujaza bakuri.
 
mishahara gani mbona halmashauri yetu tumepata muda sana labda zimeshachakachuliwa kwengine
 
Mishahara bado.nadhani watalipa madeni ya wafanyakazi ili kujinusuru na gharika ya oct 25.maana wakicheza mwezi huu,mwezi ujao watachezewa wao!
 
Vimishahara vidogo na Dharau za ccm kwa walimu na maaskari,
sina hamu na hao watu wanaoipa kura ccm
 
Back
Top Bottom