Misemo ya Wahenga na Uhalisia...

Misemo ya Wahenga na Uhalisia...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
fimbo.jpg
 
labda yesu atakaporudi ndo mambo yatakuwa safi tena yatakuwa kama ulaya na dubai maana hii ni nusu karine ni kiiza tu na ubunifu na usanii na mauza mauza na kizai zai na mezingwe tu
 
Tukishauza gesi tutawapa sisi misaada kulipa fadhila, sasa watuchukulie tu.
 
Back
Top Bottom