Misemo ya viongozi wa CHADEMA iliyowahi kubamba Duniani

Misemo ya viongozi wa CHADEMA iliyowahi kubamba Duniani

Kugombea kwangu namuokoa Mbowe, namsaidia Mwenyekiti Mbowe kulinda urithi wake - TAL
 
Kama kufungwa kwa Lissu kunafanya ninufaike kama wanavyodai wamuachie ili nikose hayo manufaa -John Heche.

Kama CCM wanataka maridhiano basi wafanye na vyama 18 walivyosema vilishiriki uchaguzi, wanaifuata CHADEMA mno ifanye maridhiano kwa sababu hivyo ni vyama vya mfukoni unaweza kuviita vikaragosi- John Heche.

Mwenyekiti alianza kubadilika mara baada ya kutoka gerezani na kupitiliza moja ikulu - Tundu Lissu.

Abdul mama yako ni rais sio malkia na nchii hii sio ya kifalme- Tundu Lissu
 
Katuga: Unamfahamu Nilesh?

Heche: Simfahamu

Katuga: Hii akaunti ya CRDB namba xxxxxxxx ni yako?

Heche: Ndio ni yangu.

Katuga: Ni kweli Nilesh aliingiza sh. milioni 20 kwenye hii ya akaunti yako?

Heche: Ndio.

Katuga: Ni kweli baadae Nilesh aliingiza mara ya pili sh. milioni 10 kwenye hii akaunti yako?

Heche: Ndio.

Katuga: Halafu ulisema unasema wewe ni shahidi?
 
Back
Top Bottom