Misemo ya mabinti na tabia zao kiuhalisia

Misemo ya mabinti na tabia zao kiuhalisia

Hiyo kwendra nimeitumia sana lakini sinywi wine na sjawah kunywa kinywaji chochote chenye alcohol, of course ninao marafiki wachache wa kike wa kiume ni wengi, sitamani kuolewa haraka ila naamini kwa wakati alonipangia Allah ukifika ntaolewa
Wanawake wa jf wakicomment hivi najenga taswira ya rihanna,kumbe ni__________
 
HoNGERA mleta madA.
HIYO ni chapta ya ngapi vilee!!?
IMG_20180527_210049.jpg
 
Kuna ukweli kiasi chake nishajua maselati., miss chaga, salt wako wapi
 
Kuna msela anapenda kusema -Jomoni- . anakaa kinondoni B, ni Gym Master ana msuli hatari. Kabla hamjalala muombeeni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom