Misemo ya mabinti na tabia zao kiuhalisia

Misemo ya mabinti na tabia zao kiuhalisia

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,187
*_Maneno ya mabinti na maana zake halisi._*

Nisalimie ma mkwe jaman*= Binti wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie kumuoa,mcheleweshe kwanza huwa ni waigizaji sometimes

Jomoni*= Ni Binti mwongo,mzuri wa sura, mdhinifu na hapendi kukosolewa na huwa hakosi birthday party hata siku moja.

Vepee*= Binti anayetumia hili neno ni mmbea,anapenda fujo, mkorofi,anapenda kuvaa madera na ni hodari kutongoza waume wa best zake.

Chaa* = Ni Binti mpayukaji,anapenda ubishi na wanaume, anajiamini kupita kiasi ni mzuri kwa umbo, hafai kuolewa.

Unalo babu wee*= Ni Binti ,mcharukaji,mpiga kelele,hana points,mcheza singeri,hana aibu,hakosi vigodoro,mzururaji ila anajua mapishi.

Nilipie luku mpenzi*= Binti anayetumia sentence hii kwa best ake wa kiume hana mapenzi ya dhati,ni mkweli wa maisha yake binafsi,hana nia ya ukaribu na man.

Sina picha tuma wee kwanza*= Binti anayemjibu jamaa sentence hii ni mwoga,hajiamini,hajui mazungumzo,ni mvivu,hajui kujali.

P na K*= Binti anayetumia hizi herufi kukujibu anajiskia sana,mvivu, anavutia sura na umbo,hajiamini,amepata elimu ila hana maarifa,hajui kupenda,anapenda pesa sana,anatoa penzi kila wiki na huwa anaishia kuhudhuria harusi za wenzie tu.

Nikopeshe elf 50baby*=Binti huyu ni muuaji,mwongo sana,mahali popote penye giza anaweza kukupa penzi, hana mapenzi ya dhat na anapenda kulala na wazee,ila ni mjasiriamali wa nguvu.

Enx na Chantee*= Ni Binti mwenye mzaha mwingi,mvivu sana kitandani,ukimueleza ukweli anahisi ameonewa anaweza toa chozi mda huo huo, anaamini mapenzi ya dhati, Ni msomi,mwelewa ila huwa hana bahati ya kupata the right man.

kwendraaa*= Ni demu aliye na dharau,ila mzuri sana,anapenda pombe kali(wine),hana mabest wengi wa kike,hagongeki kwa pesa,anatamani kuoelewa haraka ila kila man anayemjia kwa mapenzi anamuona kama punguani flani.

Mfyuuu* = Ni Binti aliye na jeuri, hana uzuri wowote ni mpiga kelele tu kwenye magrup na vicoba,ana wivu kwa mademu wenzie, ukimnunulia makande ya jero tu unalala nae siku hiyo.

Inahuu na nampa papa* = Binti anayetumia haya maneo ni muhuni,anavuta shisha,sigara na pombe kali(wine) ,anapenda vipodozi,hakosi club,anapenda umaarufu,mara nyingi wanalala loji na kweny magari ya thamani.

Nyokoloo*= Ni Binti mwenye hasira za karibu,anapenda pombe za aina zote,anapenda safari za mikoani, mtafutaji wa pesa,ni bonge la pritenda,mcheshi kias,anapenda sana ngono hachoki,ni msomi, hapend kula ,hana aibu anaweza uza
hata maembe sokoni ili apate pesa.

*_Hapo sasa kila mtu athathmini manzi Wake__*
1f6b6_1f3fb_200d_2642.png
1f6b6_1f3fb_200d_2642.png
1f6b6_1f3fb_200d_2642.png
1f6b6_1f3fb_200d_2642.png
 
Hiyo kwendra nimeitumia sana lakini sinywi wine na sjawah kunywa kinywaji chochote chenye alcohol, of course ninao marafiki wachache wa kike wa kiume ni wengi, sitamani kuolewa haraka ila naamini kwa wakati alonipangia Allah ukifika ntaolewa
 
Kuna mtu namjua, hapo anatumia maneno karibu yote sijui atakuwa evaluated vipi...
 
Hiyo kwendra nimeitumia sana lakini sinywi wine na sjawah kunywa kinywaji chochote chenye alcohol, of course ninao marafiki wachache wa kike wa kiume ni wengi, sitamani kuolewa haraka ila naamini kwa wakati alonipangia Allah ukifika ntaolewa

how old are you?
 
Ukiona hivyo basi we sio mtumiaji ni mzugaji hata wa hilo neno lenyewe. But among those lipo lenye uhalisia wako.
 
Unatuchanganya wenzio eti brother aisee
 
Ukiona hivyo basi we sio mtumiaji ni mzugaji hata wa hilo neno lenyewe. But among those lipo lenye uhalisia wako.
Hilo la kwendra nakiri kutumia lakini situmii pombe wala wine yoyote tokea nimezaliwa, ukweli ndio huo
 
Maneno mengi hapo ni lugha inayoendana na umri.
 
Kuna msela anapenda kusema -Jomoni- . anakaa kinondoni B, ni Gym Master ana msuli hatari. Kabla hamjalala muombeeni.
 
Back
Top Bottom