Misemo mingine mbona mimi siielewi

BatteryLow

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
446
149
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
 
Kwa maana hiyo wakuu wetu wengi wana chura, du! Ina maana hicho ndo kigezo cha kupewa ukuu?
Ila kama ulikuwa unajua vile nini maana ya chura ila Sema tu umeuliza ili kutaka kujua zaidi mkuu BatteryLow
 
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa

!
!
anamaanisha "miundombinu" ya huyo mkuu wa mkoa iko vizuri mno yaani natacore yake mistari ya kontua iko mingiiiii halafu ipo karibu karibu mno kuashiria muinuko mkali na mkubwa, kichuguu fulani amazing
 
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa

Kuchura =
Uchinvi,
Kumtakia mwenzio maafa au bahati mbaya,

Kumchuria mtu ni kumtakia au kumuombea huyo mtu kifo au mabaya.
 
Huyo atakuwa yule mkuu wa mkoa unaolima gesi kwa wingi.. Kule ambapo mtu wao wanasema ntu, mshale wao wanasema nchale...
 
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
Hayo ni maneno ya 'kitaalam'. Ungekuwa na taaluma husika wala usingepata taabu...
 
Jf hahahahaahha kwa hyo mkuu ana mzigo mashallah
 
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
Ungefanya la maana sana kama ungeweka picha ya huyo mkuu wa mkoa!!sasa sisi tutaaminije kama kaficha huyo chura!!kwanza tayari huyo ni nyaraka za serikali kwa nini ana chura!!
 
Ww hunitakii mema ww, sheria ya mtandao...
 
Namfahamu sana Yule Mama Jina lake linaanzia H. Chura wake utadhan kafunga TV ya Chogo Mkiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…