Misemo hii: umaanisha nini?

Misemo hii: umaanisha nini?

Manton

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,529
Natumaini hali ya leo ni njema sana. Naomba kuongezewa ufahamu juu ya maana ya misemo hii: 'Usinchoshe nsikuchoshe... kwani sh. ngapi?' na wa, 'Sakata! Msaka tonge!' Pale inapotumiwa na wadada kimjini mjini wanapohisi kutongozwa, mathalani.
 
Mi najua maana yake ila sikuambii
 
Uliwatongoza ndo wakakujibu hivyo?
Wala mpango wa kuwataka sikuwa nao kabisa. Lazima ni misemo maarufu ambayo bado sijajua maana halisi ni ipi!
 
Back
Top Bottom