Mama na wakubwa zangu walinisimulia enzi hizo nikiwa mdogo nilivokuwa nageuza misamiati;-

DOGORO- GODORO

SEMPELI- PENSELI

GLOO- DROO

PICHES- CHIPS

PUCHI- CHUPI

SHAMOO- SHIKAMOO

KIPOMBE- KIKOMBE

TANGO- ..........

Wewe je ulisimuliwa maneno gani uliyageuza?
Mi nimeambiwa kuwa nilipozaliwa tu nikasema kwa sauti ya ukali "Manesi wote tokeni nje, kama hamtoki basi leo ndio mwisho wenu" baada ya tukio hilo watu wote wakasambaratika, wenye uchungu wengine wakajifungulia juu ya mitinasafi= nafasi
jodoro=godoro
papaa=baba
bujibuji= mzuri/nzuri
pioko=pilipili hoho