Misamiati ya JF

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564
Wakuu Lugha ni hai ie inazaliwa, inakua na kisha inakufa Tangu nijiunge na JF nimekutana na misamiati ifuatayo (hasa jukwaa la siasa)

  • kilaza
  • masaburi
  • unatoa povu/pofu
  • kibuda
  • ......
  • ......
  • ......

up date 21.06.2012

dhaifu
 
Heshima mbele.
Kumkoma nyani giladi
Kukata ishuz.
 
kwishney (sina hakika kama nimepatia spelling)
 
This messege have been deleted by.....
Magwanda
Magamba
M..k..w..e..r e
EL
...............
 
heshima mbele
Mkuu
kamanda.
umetumwa
 
Mwanaasha
Megawat
Mzee wa kilalacha
Dudu mtu
Kiloba
Mzee wa kusutwa
....................................
 
Lol..
RACHEL
Mzee mchonga
Mzee white hair
 
-mia
-mizambwa inauma(sina hakika)
-maprosoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…