Misamaha miwili yenye uzito tofauti

Misamaha miwili yenye uzito tofauti

Anaomba msamaha wake baada ya chama chake kukataa matakwa, maana yake CCM ingesema OK, Samia hata gombea na mchakato urudi chimwaga HP asingeomba samahani kwa jamii naye angeendelea kuwa sehemu ya wala keki.

Siwezi kuamini msamaha wa mtu anayepigania vita ya maslahi.

ndani ya Benghazi Libya.
Sio lazima umsamehe ila kuna wengi wamesamehe, ni haki yako kutokusamehe na hakuna mtu atakulazimisha hata kumuelewa pia sio kusamehe tu mkuu.
 
shetani anaomba msamaha na kua ibilisi chadema masalia wanafanya shangwe 🤣
Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri
Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana kama yamefanyika kwa kushurutishwa ama kulazimishwa.. Kama mlengwa ni mtu mmoja ama ni jamii
Job Ndugai alimuomba boss wake msamaha.. Mazingira yakionesha wazi "alishurutishwa" kufanya hivyo! Imagine hata viatu alikuwa hajafunga gidamu na vilikuwa oversize! Je kabla ya kuomba radhi mbele ya cameras alikuwa wapi? The walls has a story to tell!
Msamaha wake uligeuka dhihaka na kejeli kwa jamii.. Huku wengine wakiuchukulia kama kituko cha karne! Maana haukuwa na faida yoyote kwa jamii
Humphrey Pole pole kaomba msamaha kwa jamii.. Tena kwa kurudiarudia.. Pamoja na ukubwa wa makosa yake tofauti na ya Ndugai bado msamaha wake umeonekana wa maana zaidi.. Kwakuwa ameiomba jamii na bila shuruti
Msamaha wake umemjenga badala ya kumbomoa.. Msamaha wake umepokelewa kwa heshima kubwa, kwakuwa aliyoyasema yameifungua macho jamii na yanaumiza sana!
Likitokea la kutokea leo Pole pole atakuwa na HERO kwa jamii na msiba wake utakuwa tofauti kabisa na wa Ndugai
Hii ni nguvu ya msamaha kujishusha na kujutia.. Lakini je unamuomba nani na kwa sababu ganiView attachment 3448713View attachment 3448788
 
shetani anaomba msamaha na kua ibilisi chadema masalia wanafanya shangwe 🤣
Ile Novena ya RC imeanza kujibu.. Naona tangu kuche unahangaika kweli jentroman! Mara uanzishe mada zinafemea mara utafute mada mpya za siasa uchangie vioja na vituko😂😂🤣🤣.. Yaani ni full kuchanganyikiwa🤣
 
IMG-20250822-WA0014.jpg
 
Anaomba msamaha wake baada ya chama chake kukataa matakwa, maana yake CCM ingesema OK, Samia hata gombea na mchakato urudi chimwaga HP asingeomba samahani kwa jamii naye angeendelea kuwa sehemu ya wala keki.

Siwezi kuamini msamaha wa mtu anayepigania vita ya maslahi.

ndani ya Benghazi Libya.
Wamarekani huwa na mfumo wanaoutumia FBI wakifanikiwa kumkamata mhalifu Sugu haswa aliyewasumbua sana kumjua na kumkamata. Huwa wanampa masharti awaambie mbinu zake zote alizokuwa akizitumia kufanya uhalifu na kukwepa kukamatwa. Akikubali na akasema yote huwa wanaweza kushawishi mahakama impungizie adhabu na hilo linafanyika kwa sababu amesaidia kuongeza ujuzi kwenye taasisi hiyo nyeti ya kupambana na wahalifu Sugu.

Alichofanya HP, pamoja na unavyodhani lakini angalau amesaidia jamii kujua mambo ambayo kama watawala wasingempuuza jamii isingekuwa kamwe.
Nina uhakika wapo wengi waliopuuzwa kama HP na wanayajua mengi zaidi pengine kuliko yeye,lakini kwa sababu ya uoga wameona wabaki nayo vifuani mwao.

Unajua mtu mwema anaweza kushiriki kwenye uhalifu hata kama hapendi lakini dhamiri yake ikaendelea kumtesa,na ndio sababu huwa tutasikia shuhuda nyingi sana tena za aibu zinazotolewa na watu waliopitia changamoto hizo, mpaka unajiuliza huyu amewaje kuyasema haya yote bila woga!!
Sasa haya ya HP ni mpango wa Mungu kuwafanya watawala washupaze shingo zao, lakini kumbe lipo kusudi la Mungu kupitia kiburi chao. Soma Kutoka7:3.
 
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
Kalikawe Lwakalinda Bagonza
 
Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri
Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana kama yamefanyika kwa kushurutishwa ama kulazimishwa.. Kama mlengwa ni mtu mmoja ama ni jamii
Job Ndugai alimuomba boss wake msamaha.. Mazingira yakionesha wazi "alishurutishwa" kufanya hivyo! Imagine hata viatu alikuwa hajafunga gidamu na vilikuwa oversize! Je kabla ya kuomba radhi mbele ya cameras alikuwa wapi? The walls has a story to tell!
Msamaha wake uligeuka dhihaka na kejeli kwa jamii.. Huku wengine wakiuchukulia kama kituko cha karne! Maana haukuwa na faida yoyote kwa jamii
Humphrey Pole pole kaomba msamaha kwa jamii.. Tena kwa kurudiarudia.. Pamoja na ukubwa wa makosa yake tofauti na ya Ndugai bado msamaha wake umeonekana wa maana zaidi.. Kwakuwa ameiomba jamii na bila shuruti
Msamaha wake umemjenga badala ya kumbomoa.. Msamaha wake umepokelewa kwa heshima kubwa, kwakuwa aliyoyasema yameifungua macho jamii na yanaumiza sana!
Likitokea la kutokea leo Pole pole atakuwa na HERO kwa jamii na msiba wake utakuwa tofauti kabisa na wa Ndugai
Hii ni nguvu ya msamaha kujishusha na kujutia.. Lakini je unamuomba nani na kwa sababu ganiView attachment 3448713View attachment 3448788
Wa kuelewa tumeelewa
 
Ccm kiboko Kwa wizi ,ilishaajiandalia mafiga mawili kutengeneza utatu wa wizi
 
Anaandika @godbless_lema Kwenda Kwa @hpolepole Hii ni ishara kwamba mtu anapokaa imara kwenye ukweli na haki, hata vizingiti vya woga, mateso, na adhabu ya kisheria havina nguvu ya kudhoofisha roho yake.

Haki haiwezi kufungwa, haiwezi kunyanyaswa, na haiwezi kuzimwa. Nimefarijika sana nilipoona umetambua kuwa uliukosea umma katika siku za nyuma ktk utumishi wako ndani ya chama cha ovyo kabisa Duniani.Msamaha wako ni jambo muhimu kwa ushirika wenye nguvu kwetu sote. Mungu akubariki
FB_IMG_1756063013394.jpg
.
 
Waliomsamehe ni nyumbu wa CHADEMA ambao huwa hawafikirii mara 2. Ingekuwa CHADEMA wana akili wangeshinikiza Polepole akamatwe kwa kuwa ni mtuhumiwa muhimu kwenye jinai aliyoshiriki.
 
Waliomsamehe ni nyumbu wa CHADEMA ambao huwa hawafikirii mara 2. Ingekuwa CHADEMA wana akili wangeshinikiza Polepole akamatwe kwa kuwa ni mtuhumiwa muhimu kwenye jinai aliyoshiriki.
Kwa nini akamatwe? Na akamatwe na nani? Na wa kumhukumu yuko wapi? Kwanza bado hajamaliza project yake ya kufichua mengi ambayo bado hatujayajua.
Na akikamatwa tutayajuaje? Tayari amefanikiwa kutuelewesha wengine ambao hatukuilewa hii NRNE kama ina uhalisia.
Alichoongea binafsi nimeamini, na haswa alipoibuka huyo mtaalam wa Nida kupinga akiwa amesahau yeye mwenyewe mwezi March 2025 aliwahi kusema kama mtu hana kadi ya mpiga kura anaweza kutumia kadi yake ya Nida ambayo mifumo yake inasimana na ya Inec.
Na miye binafsi 2020 sikuwa na kadi ya kupigia kura na niliambiwa nitumie kadi ya Nida na nilipiga kura sasa uongo wake uko wapi?
Sasa mtu akiibuka na kusema hiyo kitu haipo, unabakia kushangaa tu.
Tuendelee kuvuta subira kwani alihaidi kuwataja wenzake waliohusika na hiyo project ya wizi,ikitokea akaibuka mtu wa kumbishia. Na tayari wameshajitokeza tukae kwa kusubiri.
 
Back
Top Bottom