Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,747
Haya
Wakupigie simu upewe maua yakoHoja yangu, yaani turekebishe sheria ya makosa mtandao sababu MAREKANI inataka hivyo? au sababu kuna makosa yanayo hitaji marekebisho? Hivi yale matokeo ya uchaguzi wa awali yangetangazwa sababu ni sawa kufanya hivyo kisheria au kwasababu MAREKANI anataka yatangazwe?