Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,222
- 144,178
- Thread starter
-
- #21
Siongelei mechanism iliyokufikisha huko, nauliza bado unaishi huko?
Agiza supu hapo ulipo.
Au kama vipi agiza Konyagi ya kupimiwa halafu mwambie weita alete bili kwangu.
Changia maendeleo usichangie ujinga na ubazazi
Ahahaha ....
Hapana sipend misaada
Nachangia afya. Afya ni maendeleo.
Supu ni afya.
Pambana poti upate uteuzi,wa sasa ni wa nyumbani,na wewe ndio umesoma ukoo wetu wote,usisahau,baba bado analala nyumba ya nyasiUnataka kunywa chai na mimi au?
Maisha yangu binafsi hayahusiani hata kidogo na hii mada.
Kama unataka kujua napoishi, njoo PM.
[emoji28]Teh teh umeona eeh?
Konyagi ni afya acha kubeba ujinga
[emoji28]
Lakin mkuu unasemaje kuhusu
Uvunjwaji wa demokrasia , unaoonekana kutokea
Kumbuka tumeshatoka kwenye uchumi wa viwanda tuko kwenye uchumi wamachinga...tukitoka hapo haieleweki tutaelekea uchumi upi. Kwakua ramani imekosewa kuchorwa mwazoni kabisa awamu yatano basi misaada nimuhimu mno(haikwepeki ili tufikie hapo utakapo lazima tukubali tuaze upyaKumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.
Sababu kuu inayotajwa ni kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini chini ya huu utawala wa Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli [huyu ngosha ana majina mengi kweli...mara Tingatinga...sijui Sizonje....but I digress].
Nachotaka kuzungumzia hapa si hayo madai ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu. Hiyo ni hoja ya siku ingine.
Hapa nataka kuzungumzia huu upumbavu wa misaada.
Kwa tunaofahamiana humu tokea 2004/2005/ 2006/ na 2007, watakuwa wanakumbuka msimamo wangu kuhusu hii misaada ya maendeleo ambayo taifa letu limekuwa likipewa tokea nianze kupata/ kupatwa na fahamu.
Kwa maneno mengine, ni muda mrefu mno sasa tumekuwa tukipewa hii misaada ya maendeleo.
Kilicho cha ajabu kwangu ni: mbona bado tu hatuendelei? Hiyo si inaitwa misaada ya maendeleo? Miongo na miongo tunapokea hiyo misaada lakini ukiangalia maendeleo yenyewe hakuna.
Mbaya zaidi, tuna idadi kubwa tu ya watu [kwa makadirio yangu] ambao wanaipenda sana hii misaada ya maendeleo. Yaani wanapenda sana sisi kupewa hii misaada na hizo nchi.
Sasa ngoja nirudie ambacho nimekuwa nikikisema miaka yote hii ya uwepo wangu hapa JF na huko kwingineko.
Siipendi hii misaada. Siitaki kabisa. Naamini imetulemaza sana hadi kufikia hatua ya kudhani bila kupewa hiyo misaada basi hatutoweza kuendelea.
Naamini kabisa tunaweza kuendelea kiuchumi bila hata hiyo misaada isiyo na msaada wowote. Ni kiasi cha kuamua tu na kubadili mindset yetu kutoka kwenye ‘can’t do’ kwenda kwenye ‘can do’.
Tuna hali ya kujiona hatuwezi kufanya mambo flani flani bila ya kusaidiwa na flani. Mara zote huwa najiuliza, hivi hao wanaotupa hiyo misaada, wao nani aliwasaidia?
Na sizungumzii misaada ya hapa na pale wakati wa majanga ya kiasili, vita, au mazingira fanani. Kwa kawaida binadamu huwa tunapitia changamoto na hatuna budi kusaidiana saidiana pale inapobidi.
Hapa nazungumzia hii misaada isiyoisha ambayo huitwa misaada ya maendeleo.
Siitaki. Siipendi. Naichukia kwa hisia kali sana. Na nasema watunyime tu hiyo misaada ili tuamke toka kwenye huu utegemezi wa kipumbavu tulionao.
Bila hiyo misaada yao tutaangamia au?
Gonga ‘Like’ kama unakubaliana nami.
Kumbuka misaada hiyohiyo inaliwa na viongozi waliopo madarakani.
Siungi mkono tuwe tunategemea misaada, ila tukiangalia kwa umakini tutaona kwamba tatizo la Afrika ni viongozi wa Afrika wenyewe.
Unakuta liwaziri lenye akili kabisa linasaini mkataba wa kipumbavu kabisa kiasi kwamba hata mtu ambae hajawahi kupita darasani hawezi kufanya hivyo
Sawa nmeagiza bagiya krib mmarekan mweusiSuala la uvunjwaji wa haki za demokrasia ni suala la kimtazamo zaidi na kisiasa zaidi.
Konyagi huchangia wanaume kupata na ku maintain erection.
Erection ni muhimu sana kwenye sexual health.
Agiza Konyagi bili walete kwangu.
Mkuu umenena ,JPM na serikali yake wakomae hadi kieleweke .Kwa kuanzia nashauri aanze kupunguza matumizi ya serikali yasiokuwa na tija mfano matumizi ya magari aina ya V8 ,matumizi ya bunge kwa kufuta wabunge waote wa viti maalum na pua kupungiza allowance zao ,Mikopo ya elimu ya juu utolewe kwa wanafunzi wanasoma masomo yq sayansi tu na si vinginevyo,zoezi la kurasimisha ardhi lifanyike hadi vijijini.Kumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.
Sababu kuu inayotajwa ni kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini chini ya huu utawala wa Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli [huyu ngosha ana majina mengi kweli...mara Tingatinga...sijui Sizonje....but I digress].
Nachotaka kuzungumzia hapa si hayo madai ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu. Hiyo ni hoja ya siku ingine.
Hapa nataka kuzungumzia huu upumbavu wa misaada.
Kwa tunaofahamiana humu tokea 2004/2005/ 2006/ na 2007, watakuwa wanakumbuka msimamo wangu kuhusu hii misaada ya maendeleo ambayo taifa letu limekuwa likipewa tokea nianze kupata/ kupatwa na fahamu.
Kwa maneno mengine, ni muda mrefu mno sasa tumekuwa tukipewa hii misaada ya maendeleo.
Kilicho cha ajabu kwangu ni: mbona bado tu hatuendelei? Hiyo si inaitwa misaada ya maendeleo? Miongo na miongo tunapokea hiyo misaada lakini ukiangalia maendeleo yenyewe hakuna.
Mbaya zaidi, tuna idadi kubwa tu ya watu [kwa makadirio yangu] ambao wanaipenda sana hii misaada ya maendeleo. Yaani wanapenda sana sisi kupewa hii misaada na hizo nchi.
Sasa ngoja nirudie ambacho nimekuwa nikikisema miaka yote hii ya uwepo wangu hapa JF na huko kwingineko.
Siipendi hii misaada. Siitaki kabisa. Naamini imetulemaza sana hadi kufikia hatua ya kudhani bila kupewa hiyo misaada basi hatutoweza kuendelea.
Naamini kabisa tunaweza kuendelea kiuchumi bila hata hiyo misaada isiyo na msaada wowote. Ni kiasi cha kuamua tu na kubadili mindset yetu kutoka kwenye ‘can’t do’ kwenda kwenye ‘can do’.
Tuna hali ya kujiona hatuwezi kufanya mambo flani flani bila ya kusaidiwa na flani. Mara zote huwa najiuliza, hivi hao wanaotupa hiyo misaada, wao nani aliwasaidia?
Na sizungumzii misaada ya hapa na pale wakati wa majanga ya kiasili, vita, au mazingira fanani. Kwa kawaida binadamu huwa tunapitia changamoto na hatuna budi kusaidiana saidiana pale inapobidi.
Hapa nazungumzia hii misaada isiyoisha ambayo huitwa misaada ya maendeleo.
Siitaki. Siipendi. Naichukia kwa hisia kali sana. Na nasema watunyime tu hiyo misaada ili tuamke toka kwenye huu utegemezi wa kipumbavu tulionao.
Bila hiyo misaada yao tutaangamia au?
Gonga ‘Like’ kama unakubaliana nami.
Mimi ni mtumishi wa mungu siku nyingine usiongee ujinga mbele yangu
Issue siyo misaada tu ewe ndugu Bashite Nyani Ngabu ...kuna mikopo pia; kumbuka miradi ya trillion 6, 7 yote ni mikopo; sasa utasema Mchina, Uturuki na Mafarao wapo - utawarudia kukopa mara ngapi before you bend your ass over for them?Kumekuwepo na taarifa kuwa eti tumenyimwa misaada na nchi za jumuiya ya Ulaya, Marekani, na sehemu zingine.