MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,167
- 35,733
Zitto hajakubaliana na misaada ....hapa zinapigwa propaganda kuondoa hoja ya msingi ya Zitto. Hivi misaada ikikatwa ghafla kama anavyotaka Lissu nani ataumia? Kukataa misaada anakoshauri Zitto ni sawa na ombi la Lissu kimantiki?Ulikuwa utoto, kwa sasa amekuwa ndo mana ameacha na kuelewa umuhimu wa misaada.