kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,729
- 14,159
Ujio wa Trump na Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya (EU), kutabadilisha sana mambo mengi tuliyokuwa tumeshayafanya kama mazoea yetu kama vile kutegemea misaada na mikopo yenye masharti nafuu kutoka nchi hisani na mashirika ya kimataifa.
Hali ilivyo sasa kila nchi lazima ibebe yenyewe uwepo wake na watu wake bila kuangalia wahisani. Tukusanye kodi na tuwekeze kwenye uzalishaji wa mazao ya baharini, nchi kavu na viwandani. Watu wanaolia njaa tungeweza kuwalisha samaki wa baharini.