"MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??

Unakuta Mbunge ndio Kinara wa kutafuna hii mihadarati.

Msalani,
Kuna Wabunge wanakula hii kitu??? Au kwakuwa inaliwa sana Moshi/Arusha
na chadema ina wafuasi wengi huku hivyo Wabunge wa hiyo mikoa wanasaga????
 
Gomba linasagwa hadi taya zinalegea,na mtaa maarufu kwa biashara hiyo ni ule mtaa wa msikiti mkuu ukipita hapo utaona viroba vya mirungi kwa asiyejua anaweza kufikiri ni viroba vya mchicha!! Utasikia chalii angu au jombaa njoo tusage gomba! Mambo ya A-town hayo!!! je hii biashara ya gomba imekuwa legalised hapo Arusha?
 
Mrungi hauna madhara ya kiafya, hata wataalamu wa uchunguzi uingereza wamepima wakabaini haina madhara kiafya, hii ilikatazwa na mrema kwa mara ya kwanza kabla haijawa sheria, kama lowasa alipokataza ngao za magari na sport light.
 
Haina madhara kiafya kwa uchunguzi wa wataalamu wa uingereza, fast lilikuwa katazo la mrema kabla haijawa sheria.
 
Gomba linasagwa hadi taya zinalegea,na mtaa maarufu kwa biashara hiyo ni ule mtaa wa msikiti mkuu ukipita hapo utaona viroba vya mirungi kwa asiyejua anaweza kufikiri ni viroba vya mchicha!! Utasikia chalii angu au jombaa njoo tusage gomba! Mambo ya A-town hayo!!! je hii biashara ya gomba imekuwa legalised hapo Arusha?

Ni legal business ndio.
 
Gombaaaaa!!!! Hakuna kama gomba....Mleta mada sema hujawahi onja hii mambo....Unatafuna na Big G pembeni unasoda ya Sprite...Ni laana tupu..

Wee@tedo ni membaa wa hii kitu
acha gu hakuna kitu kama hiii
 
Mirungi hii sio Moshi na Arusha tu yaani Mwanza ndo usiseme ni hatari sana.
NI BORA IHALALISHWE TU SIJAWAHI KUONA WATU WENYE USTAARABU WA HALI YA JUU KAMA WALA MIRUNGI MAANA HATA WANYWA BIA NI WASHENZI TU,HAWA HUWA WAKO KIMYA NA SODA ZAO NA TAFAKURI ZAO infact wala mirungi hawalewi kishenzi!
 
hahahaha hiyo kali sasa

Mkuu morphine hiyo kitu kwa Kenya ni kweli kabisa,mwezi uliopita nilitembelea maeneo mbalimbali kenya nilishangaa sana kuikuta inauzwa hadharani na pia unaweza kwenda kituo cha polisi huku unatafuta hiyo kitu!
 
Miraa kenya ni ruksa ila tz ndo walipiga marufuku bila kuwa na misingi mizuri ya marufuku hiyo kwani ni kitu ya kawaida sana. Ndo maana kwa moshi na arusha wengi hawajifichi kula miraa, iwe barabarani kwenye magari ndo sana. Mabasi yanayoenda njia ya kati ni kawaida kupakia magunia ya miraa kwenda singida dom shy, ckuwahi ona wanakamatwa. Njia hii ya tanga dar kuna askari dah wanaitafuta mpaka kwenye pindo la suruali utafkiri anatafuta heroin
 
vijana wa moshi na arusha wamezidisha kula mirungi. ndio maana akili zao zimepinda
 
NI BORA IHALALISHWE TU
SIJAWAHI KUONA WATU WENYE USTAARABU WA HALI YA JUU KAMA WALA MIRUNGI
MAANA HATA WANYWA BIA NI WASHENZI TU,HAWA HUWA WAKO KIMYA NA SODA ZAO NA
TAFAKURI ZAO infact wala mirungi hawalewi kishenzi!

aa wapi wanaongeaga ujinga handas ikipanda mi nawafaham vizuri
 
Saivi tunawaletea juice yake maana inaonekana taya zinawauma kwa kutafuna,itakua kunywa tu full handas
 
Natafuta sana hiyo kitu hapa mjini, kwa muda mrefu bila mafanikio. Kwa anayefahamu, anitext.
 
Mbona hamuulizii madhara ya kuvuta sigara? Wacha watu wachanje gomba bana kwa raha zao.
 
Back
Top Bottom