Mirambo Holdings Tanzania Limited | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mirambo Holdings Tanzania Limited

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Feb 22, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii kampuni ni ya nani?

  shareholders wake ni akina nani?

  Majibu yapo BRELA lakini kama mnavyojua website haifanyikazi.

  Wengine wanaiita Mirambo Ltd. Sijui lipi sahihi, kuna madudu!
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nini? Kufikirika? Kusadikika?

  Mkuu ina nini hii kampuni?
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi

  Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi

  kazi kwenu na wajinga ndio waliwao
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ya Rostam aziz! Mwenye Vodacom, Caspian, Shivacom, Ultimate security, Dowans, Pan african energy, Seacom na govt of tanzania
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh hapa mimi mgeni
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna binadamu anayefahamu kila kitu mkuu, kama kuna linalojiri tujuze na sio kutuita wajinga.

  Hao CHADEMA unaowasema ndio wametufumbua mambo mengi sasa unaposema tuwapuuze kisa tu hatujui Mirambo Holdings ni ya nani mimi sioni mantiki yake.

  Funguka mkuu
   
Loading...