Uchaguzi 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

Hongera kwa ndoto za mchana

Hatuweki mtu dhaifu
 
Na Bashite mmempangia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewe lofa acha kudanganya watu , mbunge Sugu analeta maendeleo mbeya mjini kwa kugawa maelfu ya cement kila kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM inafikiri wananchi wa Singida ni bado wale wakuhongwa Ndoo za Mtukuru
 
Ha ha ha umeona fursa naona jasho linakutoka. Kwani huyo vas o da gama kaitukana wapi nchi?!! Au unamaanisha kaisema serikali?!! Khaa sasa wewe unaumia nini, yeye aliumia wewe je?! Au ndio ninyi mlitaka afe?!
 
CCM mshaurini DC Mtaturu asipoteze rasirimali na muda wake bure Singida Mashariki. Mtaturu hauziki jukwaani pale, atashindwa mchana kweupe. Sio Level ya Lissu wala Gerald Mahami aliyekua duwani wa kata ya Siuyu. Kiufupi Mtatururu hata wapeleke vifaru hawezi kushinda
 
Huyo anayejiita Tindo ndio wale wale mkuu.
 
Tunatoa takataka zote za chadomo nchini
 
🚫Ikungi ni jimbo jipya?
 
Munio wa ma nyokwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu apo upupu mtupu bora Wema Sepetu awe mbunge wa singinda mashariki kuliko Mtaturu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kwanini Lissu yuko nje na analalamika huoni tatizo ,?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. inaonekana umetumwa na miraji kuanza kumtajataja mapema kuelekea 2020.

Alipoletwa ikungi kuwa mkuu wa wilaya nilijua wazi kuwa anaandaliwa kugombea 2020. Huu ulikua mpango mkakati wa ccm wa muda mrefu (Hapa nawapongeza ccm wana akili kubwa ya kuona mbali sana)

ila akigombea na Tundu lisu naye akagombea, basi lazima Tundu lissu ashinde. pamoja na mambo mengine Tundu lissu atapata huruma za wananchi kutokana na matatizo aliyopata. ikumbukwe wanyaturu ni watu wenye huruma sana. ccm ina mbinu za kijasusi kupata kura ila kwa lissu sidhan kama zitafua dafu.

kitu kizuri ni kwamba Lissu anafikiria urais, hivo asipogombea ubunge basi uhakika 100% Miraji mtaturu atashinda kwa sababu sijaona mtu mwingine mwenye ushawishi na anayejulikana vizuri ikungi zaidi ya Lissu na mtaturu.

yote kwa yote mm pia nitagombea ubunge 2020. sijajua ni kupitia chama gani ila sio ccm kwa sababu ccm hawawez kukuamini kijana mdogo hata kama una fikra productive za kuigeuza singida mashariki kuwa mbagala. Kwa mbinu nilizo nazo najua lazima ntashinda. Hilo halina shida kabisa na sitanii ktk hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…