mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
- Thread starter
- #21
Hongera kwa ndoto za mchanaWala mimi huwa simshauri atoe ahadi hewa. Huwa namwambia, "baba mdogo toa ulichonacho, usiahidi hewa" lakini hunipuuza. Halafu yeye ni kama mwenyekiti wa ccm wilaya, ni kama hatuna DC! Ubunge pale natabiri ni Gerald Mahami wa CHADEMA vs Dr. Jingu (Katibu mkuu Maendeleo ya jamii) wa CCM. Na mshindi ni Mahami hasa kama Lissu atagombes Urais
Hatuweki mtu dhaifu