Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara na Makazi.
Issue yangu kama wameweza kutangaza katika mfumo kwa nini wasiruhusu pia mtu kufile maombi kwa njia ya mtandao.
Maana hamna option hiyo.
Nini maoni yako kwenye Hili.