Kwa bei nzuri unamaanisha kidogo? Sio kweli wanafanyia marketing tu ila siku mkianza ndio utajua ni kubwa. Hata mafundi wanatabia ya kupunguza gharama mkiwa mnafanya tathmini, ila mkiingia field mambo yanakua mengi. Huwa wanasema boss ukimpigia hesabu sahihi ikiwa kubwa anaogopa na anaweza ahirisha, ila ikiwa ndogo mkaanza hawezi kuishia njiani atakopa ili kazi iishe