PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Utekelezaji wa ahadi, Uzinduzi wa Miradi na utatuzi wa ghafla wa kero za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze.

Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.

Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.

"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.

IMG-20250108-WA0052.jpg
IMG-20250108-WA0048.jpg
IMG-20250108-WA0049.jpg

JANUARI
  1. Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni
  2. Wizara ya Ardhi yapongezwa kutenga fedha kukamilisha mradi wa maktaba
  3. Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila
FEBRUARY
  1. DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu
  2. Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa
  3. Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto
  4. Pre GE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini
  5. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola
  6. Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar
  7. Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma
  8. Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
  9. Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
  10. Pre GE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo
  11. Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari
  12. Pre GE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera
  13. Pre GE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
  14. Pre GE2025 Njombe: Waziri Jafo ataka mradi makaa ya mawe ukamilike haraka
  15. Pre GE2025 DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
  16. Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme
  17. Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme
  18. Pre GE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu
  19. 18. Pre GE2025 Baada ya Samia Legal Aid sasa wameanzisha "Samia Teachers Clinic" kwa ajili ya maslahi ya walimu. Walimu msidanganyike!
  20. Pre GE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza
  21. Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
  22. Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10
  23. DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua
  24. Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami
  25. Pre GE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400
  26. Pre GE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha
  27. Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya
  28. Pre GE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa
  29. Pre GE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)
  30. Pre GE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya
  31. Pre GE2025 Njombe DC: Bilioni 1.16 zakabidhiwa kwa vikundi 92 mikopo ya mapato ya ndani
  32. Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora
  33. Pre GE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%
  34. Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami
  35. Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita
  36. Pre GE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji
  37. Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
  38. Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
  39. Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525
  40. CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo
  41. Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
  42. Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga
  43. Pre GE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda
  44. Pre GE2025 Mchengerwa, amtaka mkandarasi kuongeza kasi ujenzi wa Daraja la Mbambe Rufiji
MACHI
  1. Pre GE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga
  2. Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP
  3. Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya
  4. Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025
  5. Pre GE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA
  6. Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 30,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji
  7. Pre GE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia
  8. Pre GE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10
  9. Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3
  10. RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama
  11. Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba
  12. Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima
  13. Pre GE2025 RC Dendego aongoza wanawake wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali unaogharimu bilioni 1.6
  14. Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi
  15. Pre GE2025 Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2
  16. Pre GE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati
  17. Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani
  18. Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa
  19. Pre GE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa
  20. Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu
  21. Pre GE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe
  22. Pre GE2025 DSM Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi
  23. Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8
  24. Pre GE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020
  25. Pre GE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000
  26. Pre GE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu
  27. Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?
  28. Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
  29. Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  30. Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka
  31. Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo
  32. Pre GE2025 Waziri mkuu mkuu mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
  33. Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
  34. Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
  35. Pre GE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo
  36. Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega
  37. Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara
  38. Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri
  39. Pre GE2025 Zainab Katimba: Serikali imetoa bilioni 1.8 kuendeleza Ujenzi wa Hospitali ya Muleba
  40. Pre GE2025 Serikali yatenga Sh. Bilioni 25 kutekeleza mradi wa SLR
  41. Pre GE2025 Serikali yatakiwa kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali
  42. Pre GE2025 Salma Kikwete: Tumejipanga kuiomba serikali pesa za kukarabati soko la samaki kwenye kijiji cha Mchinga
  43. Pre GE2025 Waziri Aweso: Aitaka DAWASA kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu
  44. Pre GE2025 Fredrick Lowassa: Serikali ya Rais Samia imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli
  45. Pre GE2025 Sekondari mpya Majengo ya mil. 584 kuwa ya mfano Korogwe mji
  46. Pre GE2025 Kigoma: Ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa Kilometa 260, wafikia 83%
  47. Pre GE2025 DSM TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga Barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe
  48. Serikali imetoa trilioni moja kutekeleza mradi wa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora - Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi
  49. Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri
  50. Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara
  51. Serikali yatoa magari 12 kwa wadhibiti ubora shule Wilaya
  52. Arusha: serikali yafanya uboreshaji barabara ya Namanga – Sinonik – Mairouwa
  53. Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
  54. Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
  55. Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa
  56. Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika
  57. Pre GE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara
  58. Pre GE2025 Kagera: RC Mwassa asema soko jipya la Manispaa litakuwa tayari baada ya mwaka, stendi mpya ujenzi kuanza Mei
  59. Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita
  60. Ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga wafikia asilimia 75 ukitarajiwa kukamilika Juni 10, 2025
  61. DC Mpogolo: Miaka minne Ilala imepokea zaidi ya bilioni 317 ya miradi mbalimbali ya maendeleo
  62. Mbunge Bukoba Vijijini: Serikali imetoa bilioni 106.4 kutekeleza miradi ya maendeleo
  63. Meya Songea: Miaka minne bilioni 188 zatumika miradi ya maendeleo Songea
  64. Korogwe wazinduawa kilimo mbada Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia
  65. Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu
  66. Tanga: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679
  67. Mbunge Kihenzile akagua Ujenzi wa Kituo cha Afya Mninga, asisitiza ushirikiano wa Serikali na Wananchi
  68. DC Victoria Mwanziva: Lindi tumepokea TSh. bilioni 82 tangu Rais Samia aingie madarakani za miradi mbalimbali ya maendeleo
  69. Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili
  70. Rukwa: Mradi Mkubwa wa maji wakamilika Mafinga
  71. TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama
  72. Pre GE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina
  73. Ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye thamani ya bilioni 610, umefikia asilimia 97. Magari kuanza kupita Aprili 2025
  74. Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema
  75. Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira
  76. Bilioni 60 zatumika kukamilisha ujenzi barabara ya Iringa - Kilolo
  77. Mchengerwa atoa miezi miwili barabara za tarura ikwiriri zikamilike
  78. Pre GE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3
  79. RC Chalamila amuwashia moto mkandarasi, achukizwa na uzembe barabara ya Kivule
  80. DC Makete azindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 416
  81. Serikali yasema Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa (Tsh. Bilioni 119.9) utawanufaisha Wakazi 219,309
  82. Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2
  83. Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo
  84. Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20
  85. Serikali kutoa bilioni 335.6 ya miradi ya maendeleo Manyara
  86. Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia
  87. Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege
  88. Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa
  89. RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'
  90. Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja
  91. REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259
  92. Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika
  93. Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2
  94. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati
  95. Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20

Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
  1. Kamati ya kudumu ya bunge yaridhishwa na ujenzi wa minara 758
  2. Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91
  3. Kamati ya ardhi, maliasili na utalii yaridhishwa na ujenzi wa maktaba chuo cha ardhi Tabora
  4. Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga
  5. Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi
  6. Kamati ya miundombinu yaitaka Serikali kumsimamia mkandarasi ujenzi barabara ya Tanga-Pangani ili ikamilike wakati
  7. Pre GE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu
  8. Kamati ya Hesabu za Serikali imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA na kutaka ukamilishwe kwa wakati
  9. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Michezo amshukuru Rais Samia kwa "kutoa" fedha na kuinua na michezo nchini
  10. Pre GE2025 Kamati ya Bunge yaridhishwa na ujenzi wa bwawa Uyui; Wizara ya maji yapongezwa
  11. Pre GE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaimiza Serikali kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani
  12. Pre GE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa: Tumekagua miradi tumeona kuna matatizo katika maeneo mengi
  13. Pre GE2025 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeiagiza TANROADS kuwasimamia makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati
  14. Kamati ya hesabu za serikali yatembelea na kuonyesha kuridhishwa na mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa
  15. Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba
  16. Pre GE2025 Kamati ya bunge yabaini madudu Mbeya, zimepigwa milioni 73
  17. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati
Kamati za siasa za CCM
APRILI
  1. UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli
  2. Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa: Serikali kuanza ujenzi wa reli ya SGR mikoa ya kusini
  3. Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi: Bilioni 434.5 kujenga Bandari ya Kisiwa Mgao
  4. Rais Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Tambukareli-Dodoma, leo tarehe 05 April, 2025
  5. TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati
  6. Simiyu: Kamati ya Siasa CCM yakerwa na kusuasua kwa ujenzi wa VETA Busega
  7. Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa
  8. Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025
  9. Morogoro: Wananchi wanufaika na mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Mil. 600
  10. Kihenzile: Serikali yaanza Ujenzi wa Meli kubwa ya Mizigo Tani 3,500, Urefu zaidi ya Uwanja wa Mpira Ziwa Tanganyika
  11. Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne
  12. Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
  13. Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi
  14. Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma
  15. Wasira apongeza kasi ya utekelezaji miradi ya maendeleo Tabora
  16. Pre ge2025 balozi Nchimbi aelekeza wizara ya maji iweke msukumo mradi wa Tarime - Rorya
  17. DC Rombo akabidhi mkopo wa Sh. Milioni 641 kwa vikundi bila riba
  18. Waziri Ulega atoa siku 30 kwa Mkandarasi barabara ya Nsalaga-Ifisi kuwekwa Lami
  19. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja
  20. Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya
  21. Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe
  22. Wananchi zaidi ya 900 wapatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo Peramiho
  23. Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha
  24. Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
MEI

JUNI
JULAI
AGOSTI

SEPTEMBA
 
Huo mradi inamaana wananchi wa vigwaza wao hawanufaiki? Vigwaza maji shida sanaaaa kiasi kwamba watu wanaishi kama wapo jangwani, sofu yote mpaka visezi hakuna maji!
 
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze.

Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.

Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.

"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.

JANUARI
  1. Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni
  2. Wizara ya Ardhi yapongezwa kutenga fedha kukamilisha mradi wa maktaba
  3. Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila
FEBRUARY
  1. DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu
  2. Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa
  3. Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto
  4. Pre GE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini
  5. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola
  6. Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar
  7. Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma
  8. Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
  9. Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
  10. Pre GE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo
  11. Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari
  12. Pre GE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera
  13. Pre GE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
  14. Pre GE2025 Njombe: Waziri Jafo ataka mradi makaa ya mawe ukamilike haraka
  15. Pre GE2025 DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
  16. Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme
  17. Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme
  18. Pre GE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu
  19. 18. Pre GE2025 Baada ya Samia Legal Aid sasa wameanzisha "Samia Teachers Clinic" kwa ajili ya maslahi ya walimu. Walimu msidanganyike!
  20. Pre GE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza
  21. Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
  22. Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10
  23. DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua
  24. Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami
  25. Pre GE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400
  26. Pre GE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha
  27. Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya
  28. Pre GE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa
  29. Pre GE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)
  30. Pre GE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya
  31. Pre GE2025 Njombe DC: Bilioni 1.16 zakabidhiwa kwa vikundi 92 mikopo ya mapato ya ndani
  32. Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora
  33. Pre GE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%
  34. Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami
  35. Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita
  36. Pre GE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji
  37. Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
  38. Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
  39. Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525
  40. CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo
  41. Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
  42. Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga
  43. Pre GE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda
MACHI
  1. Pre GE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga
  2. Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP
  3. Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya
  4. Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025
  5. Pre GE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA
  6. Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 30,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji
  7. Pre GE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia
  8. Pre GE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10
  9. Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3
  10. RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama
  11. Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba
  12. Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima
  13. Pre GE2025 RC Dendego aongoza wanawake wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali unaogharimu bilioni 1.6
  14. Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi
  15. Pre GE2025 Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2
  16. Pre GE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati
  17. Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani
  18. Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa
  19. Pre GE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa
  20. Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu
  21. Pre GE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe
  22. Pre GE2025 DSM Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi
  23. Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8
  24. Pre GE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020
  25. Pre GE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000
  26. Pre GE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu
  27. Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?
  28. Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
  29. Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  30. Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka
  31. Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo
  32. Pre GE2025 Waziri mkuu mkuu mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
  33. Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
  34. Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
  35. Pre GE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo
  36. Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega
Tontorilo zote za nini?
And who is Kundo?
 
Huo mradi inamaana wananchi wa vigwaza wao hawanufaiki? Vigwaza maji shida sanaaaa kiasi kwamba watu wanaishi kama wapo jangwani, sofu yote mpaka visezi hakuna maji!
ukitaka usipate tabu ya huduma muhimu za kijamii kaa sehemu ambazo kuna wakubwa.
 
'Miradi kuelekea uchaguzi', inamsanisha ni rushwa!
 
Back
Top Bottom