Miradi iliyokwama Mwanza

Miradi iliyokwama Mwanza

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Baada ya Awamu ya tano kuona kama Mwanza ni kitovu cha uchumi kwa nchi za maziwa makuu iliwekeza katika miradi mikubwa Minne 4
Nayo ni 1-daraja la busisi ambalo kwa sasa lipo kama halipo mkandarasi hoi

02-Kituo cha mabasi Nyegezi mkandarasi Mohamed builders kila siku kesi na watawala mradi umemshida haueleweki upo au haupo

03- Soko kuu Mwanza ni kati ya miji hapa Tanzania ukitizama miundombinu yake na sifa zake za nje haiendani soko lilikuwa limechakaa Machinga mpaka barabarani Asante mama samia sasahv barabara zaonenaka

04- uwanja wa ndege huu uwanja umejengwA takribani miaka 15 unachakaa kabla ya kukamilika na ukisikia mwanza nenda Airport utachoka mwenyewe
Utajiposti ukiwa kwenye Dreamliner njoo nje ya uwanja ni uchochoro

Nyongeza
Kituo cha mabasi kisesa Nyamhongolo mchina naona anajikongoja
 
Kwa taarifa yako Ilemela Bas and Trucks stand..imekamilika kila kitu upande wa mchina toka mwezi wa nne....hostels,fremu za biashara, offices na sehemu za abiria kupumzikia vipo tayari. Kilichobaki ni mkandarasi mzawa kumalizia njia za kuingia na kutoka...tungekua tunaharaka gari zingeingia ivoivo kama daslamu kituo cha magufuli ambacho barabara za kuingia zimejaa vumbi mpaka unaweza kusema ni nini hichii.... ongeza na mradi wa SGR Isaka to Mwanza pace ni nzuri na meli mbili kubwa abiria na mzigo 👍
 
Back
Top Bottom