generational wealth ndo itakayotuokoa kama jamii, inawezekana, shida hatujaamua. Familia hata hazijui kama kuna haja ya generational wealth.Generational wealth ni ngumu sana katika nchi zetu za Africa
Maadamu wewe , na mimi na mwingine tunajua cha kufanya basi tuwaambie marafiki zetu, katika kumi tutakaowaambia pengine mmoja ataelewa somo na atafanya. Huyu atakuwa roll model kwa wengine na hivyo tutakuwa tumepiga hatua kubwa.Shida pia hatuwaandai watoto na wajukuu zetu ipasavyo kuja kutuliza hiyo mipira ya mbali na kuendelea na mchezo kuelekea mbele.
Ukichunguza vizuri kwa waliofanikiwa katika gemu hili wapokeaji wa hiyo mipira huanza kuandaliwa mapema sana. Sisi hilo ni nadra kutokea ndiyo maana mwenye mashuti yake akiondoka na mpira unaishia hapo hapo maana hakuna anayejua mbinu za upigaji wa mashuti yale kiundani.
Inabidi tuige kwa Wahindi...
Una hoja nzuri ambayo ingekuwa na wachangiaji wengi sana.Changamoto ni lugha uliyoitumia.Mara mipira.Mara pasi.Andika lugha nyoofu.Wasalaam,
ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia hizo. Mipira ya mbali huchezwa na wajasiriamali wachache sana hapa duniani. Kwetu hapa ni wachache mno wanaocheza mipira ya mbali, ndo maana utasikia mzee aliondoka na mali zake.
Ugumu wa mipira ya mbali uko hapa, sio rahisi kwa kapuku kuwekeza ili aje apate mavuno makubwa baada ya miaka kumi na kuendelea, kwanza anafikiria ataishije mpaka kufikia hiyo siku. Pili, yasiyo julikana hapa kati kati ni mengi mno. Kwa hiyo lazima mmoja ktk familia ageuke daraja ili wengine wavuke, je unaweza kuwa daraja la wenzako ili wajukuu watoboe?? Kama huwezi basi cheza mipira ya pasi fupi fupi tu.
Kama unafikiria kucheza mipira ya mirefu au mbali lazima ujipange vizuri kichwani zaidi ili usije ukahamishwa kwenye reli, ufanye utafiti wa kutosha juu ya investment yako katika kona zote usije angukia pua baada ya mabadiliko ya tabia nchi, au sera au technology kukupitia.
Familia nyingi,mtu akiwa mtumishi anawaza tu kukopa na kujenga nyumba na akijitahid kanunua gari..hapo anajiona kamaliza.generational wealth ndo itakayotuokoa kama jamii, inawezekana, shida hatujaamua. Familia hata hazijui kama kuna haja ya generational wealth.
Kuna kitu nilijifunza sehemu fulani, ni tatizo kwa wengi. Kitu hicho ni hiki hapa; "kitu gani mtoto anasikia pale nyumbani au anaona nini pale nyumbani kwa wazazi au ndugu wa karibu"Familia nyingi,mtu akiwa mtumishi anawaza tu kukopa na kujenga nyumba na akijitahid kanunua gari..hapo anajiona kamaliza.
Anashindwa kuwaandalia mazingira watoto wake hapo baadae...anajiwazia yeye..watoto wanasomeshwa tu halafu na wao wanakuja kuhangaika kutafuta kazi.. cycle inaendelea hvyo.
Sijui wazazi ni wabinafsi ama ni kukosa elimu??
Mtoto wa leo lazima ajue anakokwenda mapema kabisa, siyo kamaliza chuo ndo ajue pa kwenda ujue tayari hilo ni tatizo. Akikosa ajira rasmi, na mtaji huna unaanza kumlaumu Samia.Kuna haja ya kuwaandaa watoto mapema aisee.
Absolutely true.Mtoto wa leo lazima ajue anakokwenda mapema kabisa, siyo kamaliza chuo ndo ajue pa kwenda ujue tayari hilo ni tatizo. Akikosa ajira rasmi, na mtaji huna unaanza kumlaumu Samia.
Wazazi sio wabinafsi na sidhani kama elimu ni tatizo hapa. Mfumo unataka hivyo, wote hamuwezi kuwa bilionea.Sijui wazazi ni wabinafsi ama ni kukosa elimu??
Kwa huku Africa, hususani TZ, unaweza kutaja familia moja au mbili zenye utajiri endelevu kwa vizazi ambao haukuhusika na namna yoyote ile ya dhulma au shirki?Anashindwa kuwaandalia mazingira watoto wake hapo baadae...anajiwazia yeye..watoto wanasomeshwa tu halafu na wao wanakuja kuhangaika kutafuta kazi.. cycle inaendelea hvyo.
Familia nyingi,mtu akiwa mtumishi anawaza tu kukopa na kujenga nyumba na akijitahid kanunua gari..hapo anajiona kamaliza.
Anashindwa kuwaandalia mazingira watoto wake hapo baadae...anajiwazia yeye..watoto wanasomeshwa tu halafu na wao wanakuja kuhangaika kutafuta kazi.. cycle inaendelea hvyo.
Sijui wazazi ni wabinafsi ama ni kukosa elimu??
Kabisa mkuu,bahati mbaya Maisha yamebadilika ila sisi binadamu hatutaki kubadilika..tumekariri tu kusomesha watoto ili waajiriwe baadae.Maisha sasa yamebadilika sana. Huwa nawaza kama sasahivi 80% ya graduates wanaomaliza wanakosa ajira, je miaka 20 ijayo hali itakuwaje? Yaani kama una mtoto mdogo sasahivi na unawaza aje kuajiriwa miaka 15 - 20 ijayo aisee hali itakuwa mbaya
Mbona ameeleweka vizuri tu,kama Mimi nimemuelewa mno,na mfano aliotumia ni sahihi kabisa,mipira ya mbali ni wachache ambao wanaweza kuipiga ,kwanza inahitaji mtu mwenye roho ngumu, asiwe muoga,awe na maono,awe mthubutu, awe jasiri, asiyekubali kushindwa, maana yake ni mtu kubuni au kufikiri kuanzisha kitegauchumi kikubwa ambacho kitakuja kunufaishsa vizazi vijavyo,haijalishi yeye atakuwa yupo au hayupo,na wanaocheza pasi fupi fupi Hawa ni wale wanaofanya uwekezaji WA muda mfupi hataki kusubiri ,faida yake anataka aione Leo au kesho na si vinginevyo,Una hoja nzuri ambayo ingekuwa na wachangiaji wengi sana.Changamoto ni lugha uliyoitumia.Mara mipira.Mara pasi.Andika lugha nyoofu.