Mipango ya siri ya Serikali inavuja sana, nini shida?

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?

Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .

Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?

Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
 
zifike mikononi mwa maadui mala ngapi ?

Kipindi CDF Nkunda ana kili timamunkidogo, alimchana Mh Rais kwa habari ya watu wasio wa Tz kuwepo maeneneo nyeti
 
Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?

Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .

Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?

Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Hivi ushauri mbalimbali ambao hutolewa huku huwa unaonekana vipi na ilhali JF imefungiwa kuonesha maudhui yake kwa wananchi?
 
Mbona kama unaelezea vitu unavyojua wewe tu peke yako...

Nyataka zipi zimevuja na zina taarifa ipi?
 
Siyo salama kwa maslahi mapana ya Taifa ,zingelihusu CCM,aah! Kitambo sana
Sasa kama upo kati ya watu mnaoweza kupata information za siri. Hapo inakuwa imevuja kweli mkuu

Kuvuja kwa taarifa ni ile ambayo hata sisi tunajua. Ila kama ni battle za behind the scene za miamba, hapo badobado
 
Hivi ushauri mbalimbali ambao hutolewa huku huwa unaonekana vipi na ilhali JF imefungiwa kuonesha maudhui yake kwa wananchi?
Kama wanaweza siyo tu kuingia X zamani Twitter na kuweka jumbe zao sembuse JF?

24/7 wanashinda huku .
 
Kama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?
Ile haikuwa shida kubwa ,shida ni mfumo mzima wa ulinzi utakaotumika kulinda maeneo yakimkakati kuwekwa hadharani tena kwenye nyakati ngumu kama hizi dah! Nihatari ikiwa adui akaja kuubaini udhaifu wetu.
 
Back
Top Bottom