deez_811
Senior Member
- Jun 24, 2015
- 187
- 204
Nimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza watu wawili muhimu kwake in 48hours kweli mipango ya Mungu ni ya ajabu na niya pekee
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu