Mipango ya Mafisadi CCM kuelekea Uchaguzi serikali za mitaa.

Nairobifly

Member
May 3, 2012
65
95
Ndugu zangu nikiwa katika pitapita zangu hapa mjini Morogoro, nilikutana na watu 2 waliovalia nguo za ccm wakiwa ktk mazungumzo na mikakati ya kuiba kura ktk uchaguzi mnamo tarehe 14/12/2014. Nilipata kumsikia mmoja wao akisema, kiukweli chama kina hali mbaya na wapinzani wanaweza kuchukua vijiji na vitongoji vingi, sasa cha kufanya hapa ni mwendo wa KUIBA KURA TU NA HII ITAKUWA KWA NCHI NZIMA. Aliendelea kusema kuwa CCM ikipata kura 2 na CDM/CUF 100 cha kufanya hapa ni kugeuza matokeo tu CDM 2 na CCM 100. Alisema mbinu hii ni kwa nchi nzima na itakwenda sambamba na utoaji wa rushwa kwa wakala wa upinzani. My take: ndugu zangu tujiandae kukabiliana na hawa wezi ccm. source mimi mwenyewe.
 

Bozi

Member
Oct 13, 2012
93
150
Nimekutana nao Shinyanga vijana wao wakifanya mazoezi ya viungo kwa ajili ya kupambana. Sijui polisi walikuwa wamebariki au hawajui kuwa ccm wameunda Jeshi! Hii ni hatari.
 

Mhonzuyadilu

Senior Member
Oct 28, 2012
156
0
Nakuelewa sana mkuu hawa jamaa tumekuwa tukiwachekea kwa muda mrefu ndo maana wanafikiria wanachotaka, VIJANA wengi wanasinzia tu mabarabarani sababu ya madawa ya kulevya so sangapi utakuja na mkakati kabambe kuhakikisha ujinga huu tunaudhibiti vilivyo.
 

Nairobifly

Member
May 3, 2012
65
95
Hakika hakuna kucheka nq kima hapa. ndugu zangu hawa wakoloni weusi lazima tuwang'oe tusimame kidete kuhakikisha hawapati nafasi ya kutuibia kura. imeniuma sana eti kudai ndiyo mkakati wao kwa nchi nzima.
 

pembe

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,086
2,000
Mawakala walishwe kiapo cha kutokupokea rushwa mahali popote hata iwe kubwa kiasi gani. Na mawakala wenyewe wachaguliwe walio ngangari kielimu kugundua mbinu na njama zote chafu na pia wawe na afya njema ya kuweza kupambana hali ya hewa ikichafuka.
 

Nairobifly

Member
May 3, 2012
65
95
Mawakala walishwe kiapo cha kutokupokea rushwa mahali popote hata iwe kubwa kiasi gani. Na mawakala wenyewe wachaguliwe walio ngangari kielimu kugundua mbinu na njama zote chafu na pia wawe na afya njema ya kuweza kupambana hali ya hewa ikichafuka.

Ushauri mzuri pembe. Asante
 

samaki2011

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
1,775
0
naombeni namba za dr. slaa au mnyika please, tumechoka nahisi wakuu wa ukawa hawazijui hizi hila ovu nataka niwasiliane nao moja kwa moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom