Kuna kikao cha siri kilikaa kati ya nyumba ya kulea vyama, wataalam wa siasa na rohoo mbaya kutoka chama kubwa pamoja na washahuri wa Boss.
Agenda kubwa ni kukifunga miguu na mikono CHADEMA miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Yafuatayo ni maazimio.
1. M/Kiti kuendelea kushikiliwa hadi uchaguzi umalizike.
2. Makamu M/Kiti kuwekwa ndani kwa kesi inayodhiminika ila hatopata dhamani kwa kigezo cha kulinda usalama wake.
3. Viongozi wote walioteuliwa na M/Kiti kuondolewa kwa kigezo cha malalamiko kutoka kwa mwananchama wa CHADEMA.
4. Na. 3 hapo juu wakijikipeleka mahakamani, mahakama haitotolea maamuzi hadi baada ya uchaguzi.
5. Wakiitisha vikao vya kamati kuu haitokaa kwasababu itatolewa taarifa ya usalama hivyo kusanyiko lolote litazuiwa.
6. Baada ya Hence kukamatwa hakutakuwa na mtu mwenyenguvu kufanya siasa kwani Chama kitabaki bila uongozi.
7. Viongozi waliondolewa kwenye nyadhifa zao na Mlezi wao wakifanya mikutano watakamatwa kwa upotoshaji pale ambapo watatamka nafasi zilizofutwa na Mlezi.
Note: Wakati huu ndiyo kipindi sahihi ya kuhesabu wazalendo wa Taifa letu.