Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

Haiwezekani kamwe! Mie najua raisi kupitia CCM ni Mwigulu,au January, au R1, au Lusinde, au Nape
 
Hata nafasi ya waziri mkuu tayari inamwenyewe mmbakaji mkuu mr jok
 

wengi tunaohitaji mabadiliko (ya kimaendeleo) hatuko affiliated na hivi vyama vyenu vya siasa.

tangu alivyoibuka dr Slaa kwenye ile (in)famous "list of shame" cameo, wengi wetu tulimuona ndiye masia wa kutuletea hayo madadiliko tuyatarajiayo.... na ndio maana tukampa kura zetu october 2010 na kwa kweli (bar that (in)famous uchakachuaji) alishinda urais ule!

but....so much has happened since. i will single out one particular incident.

mnakumbuka ile bombing kwenye gathering ya Chadema kule arusha? remember what kamanda Mbowe said about the course of action that Chadema would take kuthibitisha ushiriki wa serikali ya ccm katika unyama ule kwa kuwatumia polisi?

me, am still waiting for that...short of which i will be looking elsewhere to cast my vote for come 2015.

and for me, a certain lowasa will be my plan B. why? because he can make that tough call when no one else does! that's what you need in a leader..which is pretty much what I can say too of dr Slaa.

and you guys dont tell me about richmond - we all know it was one grand organised crime and we know the "king himself" was in the thick of everything but that man lowasa's head was inevitably on the line of fire and he had to stop that bullet. pia msiniambie eti the guy is corrupt - who isn't kwenye hizi modern politics za TZ? the degree of corruption and how it is executed ndivyo vinavyotofautiana lakini it's all a rotten lot! so, let's start uprooting this by having a no nonesense commander today (I mean 2015) and we will have to build on it afterwards. we have to start somewhere. anywhere!

and please dont bring into this the mwakyembes, magufulis, sittas, membes of this world....just a bunch of jokers/opportunists - these!

and I will keep my mouth shut about the Zittos......clueless me.

so...

plan A: dr Slaa but only if/after Chadema clears (and fast!) the air about that arusha incident
plan B: edo lowasa.

i rest my case!
 
Pasco wa JF kesha toswa. Teh teh ...
 
Labda ikulu ya Monduli lakini sio Tanzania

Usibishe wala kushangaa Mt. Apolinary. Kwa CCM kila kitu kinawezekana. Wewe unadhani huu mradi ujulikanao " MALIZA TEMBO WOTE" na usafrishaji wa Madawa ya kulevya mapato yake ni kwa ajili ya nini?

Amini usiamini, kufikia 2015 Tanzania itakuwa na maisha magumu sana kiasi kwamba mtu akikupa buku moja unampigia kura wewe mwenyewe bila kulazimishwa. Njaa sio mchezo! Walafi wa madaraka wana mbinu nyingi hataikibidi kuua.
 

Nataka kujua kuhusu ule mgao wa Richmond umefikia wapi? Pia tumesikia rafiki yake kipenzi Rostam ametajwa kuwa Tajiri namba moja Tanzania, Je kwenye utajiri huo lowasa ana mchango gani?
 
Uchaguzi ujao wa CCM unadhaminiwa na Tembo na Madawa ya Kulevya..
 
Nataka kujua kuhusu ule mgao wa Richmond umefikia wapi? Pia tumesikia rafiki yake kipenzi Rostam ametajwa kuwa Tajiri namba moja Tanzania, Je kwenye utajiri huo lowasa ana mchango gani?

Hivi sasa habari ya mjini ni namna ya kuunda serikali si siasa za maji taka!
We uliza labda serikali iweje nk? haya ya mambo ya sijui picha za LEMA ni feki au halisi,sijui zito anagombana na Slaa hazina mashiko kwa sasa ,issue ni Je Serikali ya LOWASA itakuwa na idadi kiasi gani ya mawaziri nk!
 
Zamani sana kabla watanzania hawajafumbuka macho enzi za kitumu CCM na fikra za mwenyekiti huenda mzee Lowasa angeingia Ikulu!

Lakini kwa vuguvugu na joto la kisiasa lililopo Tanzania ni rahisi sana Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mzee Lowasa kuingia Ikulu.

Najua pesa kodi zetu alizokusanya ni nyingi mno, acha watu waendelee kuzipunguza!
 

jina la msemaji lenyewe ni majana.....liongo...mwambie lowasa akagombee uraisi nchi nyingine..
 
Watu wote wanaomkataa Lowasa pamoja na tofauti zao za Dini,Kabila,Elimu,Kipato,Makazi,Rangi,jinsia,Madaraka wanafanana kitu Kimoja WANA UHABA WA UZALENDO kwa Nchi!

wewe ni makalio..... huyo manywele ni fisadi mkuu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…