MIPANGO NA MUME MTARAJIWA

Wadada sio kila mwanaume unaejiingiza nae katika mahusiano ni sahihi kwako kuweni makini wanaume wengine tupo tuna tabia za kina CPRIAN MSIBA
 
Hamna kitu hapo, hata huo mkwara wa kujenga nyumba, ni majasho tu hana kitu hapo,... Anashindwa kuonyesha kiwanja, hana... Anajua akisema hivyo hatoruhusiwa, hapo ndipo anapochukulia ushindi wa kula na kudrive bure... Hilo ni tapeli tu
 
Nyinyi huwa mnagive kweli au mnatake tu ?
Dinner tu imelalamikiwa hivi kuna ndoa hapa kweli ?
 
Fanya yako, acha kufuatilia maisha ya watu
 
Mwambie rafiki yako aachane na huyo Mwanaume mpenda Kitonga, Mwanaume anatakiwa kuwajibika na kutimiza majumu yake.
 
Endeleeni kufuga majini.... Huyo mwanaume ni jini aiseeee mabinti sijui tunakwama wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…