MIPANGO NA MUME MTARAJIWA

Mwambie next week waanze kuweka msingi,hayo mahusiano hayafiki mbali yatakula mweleka na atabakiwa na faida ya nyumba.
 
Hakuna mume wala ndoa hapo, mwambie rafiki yako STUKA! Mwambie rafiki yako aje kuusoma huu uzi 😜😜😜

 
Hivi ungejisemea kwa nafsi yako ungepungukiwa na nini?

Next jaribu pia kupunguza chumvi sawa we mtoo...
 
Kama hatoi sh 10 hyo nyumba atashiriki vip kujenga huyo tapeli tu aachane nae tu...wanaume husema piga chini
 
Dooh!! Nna beach plot Ila kabla hatujaanza kujenga ntakuhonga ka I S T [emoji23]
Tehteh...ila nyie wanawake ni wagumu bwana....

Hata mwanamke akiwa anatoa pesa kwa ATM huwa anaichungulia.
 
Kwani kazi za ndani tunafanya wote?
Kujenga sio jukumu la mwanaume...kama mmefunga ndoa ni jukumu la wote wawili. Wanawake tusipende vya wanaume..ni jukumu la wote. Ila kwa wao sina la kuwashauri zaidi ya kumwambia akili kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…