Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Wakuu wengi wa hizi taasisi ni wazee wasio na exposure na wasio na uthubutu. Haya mawazo watayatoa wapi? Na ukiwapa watakuelewa?Kama ni mimi ningepewa mamlaka/kazi ya kuliekebisha hili.
Ningetumia hawahawa wanafunzi wa DIT,UCLAS,Ardhi,UD--na technical colleges wafanye projects za ku-design miji mipya--kila chuo ningekipa wilaya moja ya ku-design--na hapa kila group ya wanafunzi ipewe kata 1.Kuwe na makazi,viwanja vya michezo,barabara,dampo,mipangilio ya miti na huduma zote muhimu za kijamii(mini-towns)--kama hizi Town creator..
Kungekuwa na namna ya ku-rate na kuzitumia hizi designs zao katika kupanga miji--kwa ushauri wa kitaalamu kutoka kwa hawa "maprofesa" wenye ujuzi zaidi.Maeneo ambayo tayari yanamilikiwa na watu binafsi--yapewe uhuru wa kuendeleza au kuuza.
Tatizo elimu yetu iko kwenye vitabu zaidi---unakuta hawa urban planners---hajawahi ku-design chochote maishanii mwake.
hata hizi shule na mahospitali tunayojenga---wataalam wangepewa pro-bono--wajitolee--kwa ajili ya taifa---taifa liwe na templates kama 10 zilizorasimishwa---kamwe tusingekuwa na vishule vya ajabu ajabu mtaani...the same kwa maduka,open spaces,viwanja vya mipira etc
Ni mawazo yangu tu--lakini kama ingetumika hili wazo tungeweza kufika mahali--tuache SIASA.
3D Site Plans drawing example
Hizi hapa chini ni urban gardens--zilizopo Copenhagen--duara moja lina nyumba kuanzia 16 hadi 20...Na maeneo yote TZ hili linatushinda kweli?
View attachment 1727833View attachment 1727834View attachment 1727835
mkuu upo sawa sana....Kama ni mimi ningepewa mamlaka/kazi ya kuliekebisha hili.

Sijakuelewa unaongelea kuhusu nn.Tanzania imeingia makubaliano na China kuingiza bidhaa adimu Kwa mfumo wa Mradi Ambao hata jijj la DAR es Salaam haujawai kufikiria IPO siku Miji yetu itahitaji kufanya Kwa mfumo wa fidia.. "Mradi huo ni Mradi wa Maji Machafu" KAZI hiyo ya kuimport itafanyika Kwa gharama ya Dola za Marekani tirioni 2...
KAZI nzuri soma elewa tuchape Mwendokasi ya Maji Machafu Miji ipendeze na wahindi wale MAISHA ya zamani...
Resultat av Googles bildsökning efter http://theglobalgrid.org/wp-content/uploads/2016/05/wzajwsclc02.jpg
Kufikiri Maji Machafu Fanya mwenyewe options ni kuimport tu
Sure.tunaweza kuutumia huu uzi vyema kwaajili ya kulikomboa taifa letu kwenye masuala ya miundo mbinu,
wizara ardhi hatutoacha kuitupia lawama mpaka ijirekebishe kikamilifu kiutendaji na uwajibikaji