MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,493
- 39,032
Kuna vurumai kila sekta, mipango miji ni mfano tu, angalia kwenye elimu, tiba, na huduma nyingine za kijamii ni tafrani, hakuna standards. Shule au hospitali inajengwa kariakoo uzio wake ni maduka au bars. Ni mfumo mzima wa maisha yetu una walakiniSera ya Ujamaa ilianzisha Vijiji vya ujamaa,. Ni chini ya sera za ujamaa miji kama Arusha, Moshi, Songea, Mtwara, lindi, Mbeya, Iringa, Bukoba.. nk ilipangwa .. na unaweza kuona utofauti wake na miji ya kibepari kama pembezoni mwake miji hii yote, Miji mipya kama, Mkata, Chalinze, Mikese, Mikumi ..imekuja na uliberali ambao kwa uwazi unaona lack of generalized focus na mji unakuwa simply a collection of household ...zenye fikra maono na malengo tofauti.. its just chaotic..
Anguko la Azimio la Arusha limezalisha watu wabinafsi.. na its apparent in the cities we are building now.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni kama tumevurugwa makusudi.Kuna vurumai kila sekta, mipango miji ni mfano tu, angalia kwenye elimu, tiba, na huduma nyingine za kijamii ni tafrani, hakuna standards. Shule au hospitali inajengwa kariakoo uzio wake ni maduka au bars. Ni mfumo mzima wa maisha yetu una walakini
Nikweli mkuu nilienda Lindi Kijiji kimoja kinaitwa Liwale kiukweli ni kijijini kweli na nyumba haziko standard kivile lkn zimepangiliwa vzr yn mpk raha, unakuta mpk nyumba za udongo zipo ktk mpangilio mzuri barabara zimeachwa mita kadhaa kunapendeza kweli kweli yn.Sera ya Ujamaa ilianzisha Vijiji vya ujamaa,. Ni chini ya sera za ujamaa miji kama Arusha, Moshi, Songea, Mtwara, lindi, Mbeya, Iringa, Bukoba.. nk ilipangwa .. na unaweza kuona utofauti wake na miji ya kibepari kama pembezoni mwake miji hii yote, Miji mipya kama, Mkata, Chalinze, Mikese, Mikumi ..imekuja na uliberali ambao kwa uwazi unaona lack of generalized focus na mji unakuwa simply a collection of household ...zenye fikra maono na malengo tofauti.. its just chaotic..
Anguko la Azimio la Arusha limezalisha watu wabinafsi.. na its apparent in the cities we are building now.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Viko vingi sana ..sema ni zile sheria wakati huo, zilifanya watu wakimbie kuanzisha vijiji hovyo hovyo... Hawataki kuwajibika.Nikweli mkuu nilienda Lindi Kijiji kimoja kinaitwa Liwale kiukweli ni kijijini kweli na nyumba haziko standard kivile lkn zimepangiliwa vzr yn mpk raha, unakuta mpk nyumba za udongo zipo ktk mpangilio mzuri barabara zimeachwa mita kadhaa kunapendeza kweli kweli yn.
si umeona kwenye taarifa yake hapo juu anakali Kuwa kuna uzembe halafu hatoi kauli yenye action yakuwawajibisha wanaofanya uzembe ,it means naye ni mzembe hivyo hawezi kuwajibisha wazembe wenzake.....Miongoni Mwa Wazee Wazembe Wanaopewa Sifa za Kijinga-jinga..!
Mipango Miji bongo unaweza toa Machozi.
ni sawa kabisa,tuondoe hii dhana kabisa maana wasiojiweza wengi mind set yao kwa asilimia kubwa wanajua kuwa kulikopimwa ni kwa wenye nazo hivyo hawawezi kuefford manunuzi ya viwanja....Masikini hana rafiki.. ndugu yake ni serikali.. sasa kama tunataka kuendelea kuwa inclusive Basi lazima kuwe na haki na usawa.
Kila mradi uchangie asilimia 15minimum kwa ajili ya watu wa kipato cha chini. Ikiwa mtu atatoa eneo lake kwa asilimia 50 kwa ajili ya watu masikini.. serikali impunguzie kama si kumuondolea kodi kabisa.
Elimu ya ujenzi itolewe kwa wananchi na mafundi wa mitaani wasajiliwe na wafunzwe sheria ndogo ndogo za ujenzi mijini.. sio waende kiholela holela tu kunyanyua mapaa kwa ligi 🙂.
Matabaka yanakufa mipango ikianza kuwahusisha wote.. ukimpangia tajiri na masikini umpangie tunakwenda sawa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanapita kimya kimya wanajifanya hawaoni,kawapelekee kule kule EAC forums
Sio kazi ya serikali za mitaa kupima viwanja,mhusika ni wizara ya ujenzi huku halmashauri wana watu wao tu ambao wanasubili waelekezwe wapi wakapime.Sheria inazuia ujenzi holela lakini utekelezaji wake unakwama maana anayetakiwa kupima viwanja watu wajenge ni serikali,pili bei wanazouza serikali wakishapima sio rafiki kwa mtu wa kawaida lakini na utaratibu wa kupata viwanja una urasimu na mlolongo mkubwa na kupeana vimasharti vya kukiendeleza plus kodi ya kila mwaka.Halmasahuri za manispaa zinatakiwa ziwajibishwe kwa usimamizi mbovu wa serikali za mitaa, kama wanaweza kuwaongoza watu waache njia za mitaa wanashindwa vipi kuwaelekeza utaratibu wa kujenga? Hawa serikali za mitaa wakifuatiliwa vyema hata yale maswala ya utapeli wa kiwanja kimoja kununuliwa na zaidi ya mtu moja yatapungua. Wakiwa responsible kwa hayo makosa watafuatilia ipasavyo.
Kitu usijokijua ni kwamba ,hiyo ya kujenga mpaka kibali inachukuliwa kama njia ya mapato kwenye halmashauri na maofisa wa ardhi bila kujalisha ni plot au squatter..Wao walipe pesa yao 50,000 wachukue watu wa ardhi wakuchoree ramani na uwapeleke site kuzuga ,hiyo kumtoa ofisini ni pesa inakuwa imetoka hiyo.Great discussion, personally naona watu wa mipango miji hawaendi kwa speed inayotakikana. Lakini pia naona kwenye baadhi ya halmashauri kama tanga mjini, longido huwezi kujenga bila kupata kibali kutoka ardhi hii ingeigwa na halmashauri zote nchini basi naona hili tatizo tungelipunguza sana
Usisingizie sera ya kibepari sijui uliberali hakuna kitu kama hicho,kwani kwa hao walioanzisha hizi sera tulizokopi kumejaa slums kama huku? Ni uzembe wa serikali moja kwa moja.Mkoa wa Rukwa kwa mfano wananchi wamejitahidi kujenga kwa space na mitaa ya wao wenyewe kujipangia kuanzia mjini hadi vijijini kote huko japo miaka ya hivi karibuni uhamiaji umekua mkubwa mambo ya uhovyo na uholela kwenye ujenzi umeanza kuja kwa kasi.Sera ya Ujamaa ilianzisha Vijiji vya ujamaa,. Ni chini ya sera za ujamaa miji kama Arusha, Moshi, Songea, Mtwara, lindi, Mbeya, Iringa, Bukoba.. nk ilipangwa .. na unaweza kuona utofauti wake na miji ya kibepari kama pembezoni mwake miji hii yote, Miji mipya kama, Mkata, Chalinze, Mikese, Mikumi ..imekuja na uliberali ambao kwa uwazi unaona lack of generalized focus na mji unakuwa simply a collection of household ...zenye fikra maono na malengo tofauti.. its just chaotic..
Anguko la Azimio la Arusha limezalisha watu wabinafsi.. na its apparent in the cities we are building now.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata elimu na uzuri wake inaweza kutumika kama silaha ya kukukandamiza.Usisingizie sera ya kibepari sijui uliberali hakuna kitu kama hicho,kwani kwa hao walioanzisha hizi sera tulizokopi kumejaa slums kama huku? Ni uzembe wa serikali moja kwa moja.Mkoa wa Rukwa kwa mfano wananchi wamejitahidi kujenga kwa space na mitaa ya wao wenyewe kujipangia kuanzia mjini hadi vijijini kote huko japo miaka ya hivi karibuni uhamiaji umekua mkubwa mambo ya uhovyo na uholela kwenye ujenzi umeanza kuja kwa kasi.
Halmashauri kazi yao wanapima viwanja buku wanapotea hata haviuziki kwa bei za kitapeli
Chief usipaze sauti unapokuwa haujui... Uliza ufundishwe.Sio kazi ya serikali za mitaa kupima viwanja,mhusika ni wizara ya ujenzi huku halmashauri wana watu wao tu ambao wanasubili waelekezwe wapi wakapime.Sheria inazuia ujenzi holela lakini utekelezaji wake unakwama maana anayetakiwa kupima viwanja watu wajenge ni serikali,pili bei wanazouza serikali wakishapima sio rafiki kwa mtu wa kawaida lakini na utaratibu wa kupata viwanja una urasimu na mlolongo mkubwa na kupeana vimasharti vya kukiendeleza plus kodi ya kila mwaka.
Mikoani eneo la ndani ya km 8 kutoka katikati ya mji viwanja kwa watu binafsi ni kati ya 1-2mlns vyenye ukubwa wa 20x30 wakati hicho hicho kiwanja serikali inakiuza kwa zaidi ya 2.5lns sasa hapo kwa nini mtu asiende kwenye cheap.
Dawa hapa ni serikali kuainisha maeneo yote ya makazi na huduma zingine na kuyapima na kuuza bei rafiki na bila masharti ya ajabu ajabu,imefika mahala kupata plot iliyopimwa ni ufahari na anasa
mkuu mbona hakuna tatizo ,uzi upo kwaajili ya kujenga kwa kuangalia mapungufu pia kutoa mawazo mbadala....hao wote ni wadau tulikubaliana hili ,hakuna tatizoWanapita kimya kimya wanajifanya hawaoni,kawapelekee kule kule EAC forums
sure mkuuBahati Mbaya sana Serikali Haijaona hili jambo la kutopanga Miji kama Janga kubwa linaloimaliza hii nchi..
Kutopanga miji kuna madhara makubwa sana.
Kwanza msongo wa mawazo , magomvi yasiyoisha kwa majirani mfano unakuta hapa ni Bar pembeni Shule kule mbele kidogo Jalala na hapo hapo Hospitali au kituo cha Afya.
Mkanganyiko kama huu lazima ugomvi uanze na mamlaka zetu za kuzuia hili zinajikuta hata wakienda hawana la Kufanya .
Katika Hali ya Kawaida Kutopanga miji ni chanzo kikuu cha magonjwa kwasababu maeneo mengi hasa mijini watu wamerundikana sana sana..hakuna hewa, hakuna mitaro ya maji ya mvua wala maji taka kila mtu anajitiririshia kama anavyotaka ni tatizo kubwa sana.
Magonjwa kama Kipindupindu hayaezi kuisha kama hatutapanga miji uchafu hauzolewi wala miji mingi inakua haina Majalala wala mifumo ya kuzoa taka hili linasababisha taka za aina zote ziwe ngumu au maji kumwaga hadharani Popote.
Kwenye kampeni Tunawasihi Wanasiasa zingatieni usafi wa Mazingira .Sijasikia kabisa Wanasiasa wakigusia
Partly. Not entirely.Tanzania urban planners are the cause of this desease called slums at its best