Stand imejengwa muda mkuu, pia ni katika mpango wa kutanua jiji, Fuatilia stendi mpya nyingi zinazojengwa au ambazo zineshakamilika unakuta zimejengwa nje ya mji ili kutanua mji, mfano rejea stendi hiyo ya nane nane-DODOMA, stendi ya Igumbilo-IRINGA, stendi ya Tuli-TABORA ( Bado ipo kwenye mpango)Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha nanenane ambacho kipo umbali wa km 8 kutoka kituo cha treni maarufu sgr.
Swali lilipita kichwani lilikua hivi kuna mawasiliano ya mipango miji wakati wa ujenzi wa vituo hivi. Kwanini havikuwekwa karibu na kama si pamoja. Muda, usumbufu na fedha inayotumika kwa msafiri ingefanya mambo mengine ya msingi.
Je kuna wakati watakuja wataalam waseme walikosea kisha waweke city train ili kuunganisha stendi ya bus na sgr? Wabomolee watu na kulipa fidia.?
Ni vyema tujitafakari kama nchi na utaalam wa wanaofanya kazi za usanifu miji, mipango miji na watoa maamuzi ili tusije kutukanwa na vizazi vijavyo.
Ili la umbali wa kituo cha sgr Dodoma na nanenane stand liangaliwe na kufanyiwa kazi.
MSemaji kaongelea umbali kutoka stendi ya mabasi hadi steshen ya treni. "Sio kutoka sgr hadi mjini"Stand imejengwa muda mkuu, pia ni katika mpango wa kutanua jiji, Fuatilia stendi mpya nyingi zinazojengwa au ambazo zineshakamilika unakuta zimejengwa nje ya mji ili kutanua mji, mfano rejea stendi hiyo ya nane nane-DODOMA, stendi ya Igumbilo-IRINGA, stendi ya Tuli-TABORA ( Bado ipo kwenye mpango)
Mji lazima utanuke ili kujipanua kifursa zaidi na kupunguza foleni maeneo ya mjini kwa kuepusha muingiliano wa mabasi ya mikoani na magari ya kawaida.
Naomba kuwasilisha................
βοΈ The introvert
Hauna sababu ya kulalamika, unatakiwa utoe ushauri wa kuhamisha kituo cha mabasi japo wenye nchi waligoma tangu zamani.Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha nanenane ambacho kipo umbali wa km 8 kutoka kituo cha treni maarufu sgr.
Swali lilipita kichwani lilikua hivi kuna mawasiliano ya mipango miji wakati wa ujenzi wa vituo hivi. Kwanini havikuwekwa karibu na kama si pamoja. Muda, usumbufu na fedha inayotumika kwa msafiri ingefanya mambo mengine ya msingi.
Je kuna wakati watakuja wataalam waseme walikosea kisha waweke city train ili kuunganisha stendi ya bus na sgr? Wabomolee watu na kulipa fidia.?
Ni vyema tujitafakari kama nchi na utaalam wa wanaofanya kazi za usanifu miji, mipango miji na watoa maamuzi ili tusije kutukanwa na vizazi vijavyo.
Ili la umbali wa kituo cha sgr Dodoma na nanenane stand liangaliwe na kufanyiwa kazi.
Sometimes kushirikisha matatizo ni kitu kizuri, hapo mipango miji ilijenga stand hapo sijui panaitwa uhindini au so what Ili kusaidia wasafiri wa treni MITA gauge, Cha kusikitisha stend ilizuiwa kisa IPO eneo la reli, Hawa reli hawajui reli haendi mpaka majumbani ni Muhimu kuwa na stand ya mabus kunako reli!?Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha nanenane ambacho kipo umbali wa km 8 kutoka kituo cha treni maarufu sgr.
Swali lilipita kichwani lilikua hivi kuna mawasiliano ya mipango miji wakati wa ujenzi wa vituo hivi. Kwanini havikuwekwa karibu na kama si pamoja. Muda, usumbufu na fedha inayotumika kwa msafiri ingefanya mambo mengine ya msingi.
Je kuna wakati watakuja wataalam waseme walikosea kisha waweke city train ili kuunganisha stendi ya bus na sgr? Wabomolee watu na kulipa fidia.?
Ni vyema tujitafakari kama nchi na utaalam wa wanaofanya kazi za usanifu miji, mipango miji na watoa maamuzi ili tusije kutukanwa na vizazi vijavyo.
Ili la umbali wa kituo cha sgr Dodoma na nanenane stand liangaliwe na kufanyiwa kazi.
Kuna watendaji wa serikali ni hamnazo, wanatengeneza mazingira magumu kwa wananchi ili kuwarudisha nyuma kiuchumi na wao watumie umasikini huo kujiimarisha kibiashara, amini usiamini umbali huo uliwekwa ili daladala, bajaj, taxi na bodaboda zao zifanye biasharaJana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha nanenane ambacho kipo umbali wa km 8 kutoka kituo cha treni maarufu sgr.
Swali lilipita kichwani lilikua hivi kuna mawasiliano ya mipango miji wakati wa ujenzi wa vituo hivi. Kwanini havikuwekwa karibu na kama si pamoja. Muda, usumbufu na fedha inayotumika kwa msafiri ingefanya mambo mengine ya msingi.
Je kuna wakati watakuja wataalam waseme walikosea kisha waweke city train ili kuunganisha stendi ya bus na sgr? Wabomolee watu na kulipa fidia.?
Ni vyema tujitafakari kama nchi na utaalam wa wanaofanya kazi za usanifu miji, mipango miji na watoa maamuzi ili tusije kutukanwa na vizazi vijavyo.
Ili la umbali wa kituo cha sgr Dodoma na nanenane stand liangaliwe na kufanyiwa kazi.
Kwa akili hizi za mpanuko wa miji ndio hutuletea shida. Huwezi kutumia masaa 4 kutoka Dar mpaka Dodoma na unataka kuunganisha Babati, Iringa Singida etc Uje uzuiwe masaa mawili kwenye kuunganishwa.Mji hauwezi kupanuka kama mtakusanya vitu vyote sehemu moja. Sasa toka SGR lazma kuwe na tax, boda au bajaji ili uende sehemu nyingine.
Hata stendi ya Morogoro iko mbali na ya SGR
Yaani sgr isafiri kilomita nane! Huu ni utani unaotokana na kutumia muda mwingi kwenye uchambuzi wa mpira na kubeti.Nilikwenda Dom kwa treni ya SGR ya jioni kufika Dodoma nikajua ntakuta daladala nilichokuta ni taxi,bajaj na boda kuulizia nauli ya kufika mjini inaanzia 7,000 hadi 15,000 inategemea na umbali, ilibidi tujiongeze tuchukue bajaji watu 2 ndio kidogo tukapunguza gharama.
Ushauri wangu LATRA waangalie jinsi ya kuanzisha ruti ya SGR STATION kuishia,mjini nanenane,Msalato na uelekeo wa singida Road
Hiyo mipango ya SGR haikuwepo,kimsingi hatuna mipangimiji hata ya miaka 10 tuJana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha nanenane ambacho kipo umbali wa km 8 kutoka kituo cha treni maarufu sgr.
Swali lilipita kichwani lilikua hivi kuna mawasiliano ya mipango miji wakati wa ujenzi wa vituo hivi. Kwanini havikuwekwa karibu na kama si pamoja. Muda, usumbufu na fedha inayotumika kwa msafiri ingefanya mambo mengine ya msingi.
Je kuna wakati watakuja wataalam waseme walikosea kisha waweke city train ili kuunganisha stendi ya bus na sgr? Wabomolee watu na kulipa fidia.?
Ni vyema tujitafakari kama nchi na utaalam wa wanaofanya kazi za usanifu miji, mipango miji na watoa maamuzi ili tusije kutukanwa na vizazi vijavyo.
Ili la umbali wa kituo cha sgr Dodoma na nanenane stand liangaliwe na kufanyiwa kazi.
Sio lazima view karibu,ila kuwe na mawasiliano ya kueleweka! Unaifahamu Dodoma?mleta hoja yuko sahihi!Dodoma kulikuwana na CDA ila hawakuwana akili Kabisa....Kwa mamuzi ya Jiwe kwenda Dodoma....kama mji ungekuwa umepangwa kwa akili ...Kwahio ilitakiwa stand ya bus za mkoani iwe ilipo SGR station? Na mwingine anasema na airport nayo iwe karibu? Yaani mfano ile
Magufuli bus terminal, JNIA na Tanzanite station ziwe sehemu moja? Hivi mnajua impact yake?
Kitu kinachotakiwa kiwe karibu na central bus station, airport na central train station ni RELIABLE PUBLIC TRANSPORT. Period.