Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

Status
Not open for further replies.
Mbowe anapaswa kuturidhisha juu ya
yaliyoandikwa kama madhaifu yke kwenye Mkakati wa mabadiliko 2013 ndan ya
taasisi...... atolee ufafanuzi hata kama
itamgharimu..

anapaswa atoe ufafanuzi wa dhaifu moja baada ya jingine ili kutudhihirishia umma kwamba waraka ule ni wa uchochezi na uhaini



kweli nami iwapo Mbowe atazpangua hoja ndan ya waraka wa mabadiliko nitaamini, c vngnevyo. Maana kufukuzwa kwa Zitto si kitu hoja hapa ni udhaifu wa mkuu aliepo.

THANKS
 
Waseme wanatutakia nn watanzania ,wasijifanye kimya bàada ya Kiungo chao,mzèe wa kuangamiza hata panya bure!
 
Amevurugwa sana,

Eti anakimbilia kunishitaki kwa Invisible

Ye anadhani Invisible anaweza akapoteza muda wake kufuatilia mambo ya kijinga jinga kama hayo,

Hawa ndio wanaowapa kazi mods na lawama kila siku waonekane hawafanyi kazi zao ili hali wao ndio wanaolete mada za uhasama na kuchafuana humu ndan,

Mkuu Buchanan Cookie n etc hawa watu wasitumie hii loophole ya kuwa verified au u-gold member na kadhalika kulichafua hili jukwaa,mbona wapo wengi ni verifeid member na wanachangia jukwaa hili lakin wana behave tuh??


Wasiwatawale na kuwaingilia majukumu yenu,wakae wakitambua kuwa hili ni jukwaa huru

Naona umepigwa msumari wa makalio.
 
Last edited by a moderator:
Hao wawili ni kansa kwa taifa hili. Ni rahisi sana kujifanyika mjinga na hali ni mwerevu, lakini ni ngumu sana kujifanya mwenrevu na hali ni mjinga.

Hawa wanadhani ni smart kuliko watz wote, aliyewateua naye sijui ni sampuli ile ile.

Kingine, wakanushe nini na hali wameshikwa 'red handed'? Bora kunyamaza upepo upite.

Mie sijawahi kuwa na imani na hili zoezi la katiba hata siku moja, sijawahi amini litakuwa na tija kwa taifa, sababu sina imani na aliyepo madarakani. Sina imani na uzalendo wake pamoja na uwezo wake wa kuchanganua mambo mazito kama hili.

Kwa kuanzia hakuna anataka katiba mpya, akapata shinikizo akaona hana njia(ama at the same time akaona oppoturnity ya kupanga safu apendavyo), akaamua kukubali. Je alikubali kwa kuona umuhimu ama mapungufu ya katiba iliyokuwepo ama aliona fursa ya kujipanga? Na kwanini anadhani uchaguzi ujao lazima uwe chini ya katiba mypa vnginevyo aongezewe muda?

Labda kosa ni letu wenyewe, kukubali kuacha jambo ambalo ni sawa na uti wa mgongo wa taifa kufanyika chini ya usimamizi wa mtu asiyejua lolote. Suala nyeti kama hiloi lilifaa liwe chini yamtu angalau mwenye kujua taifa tunataka kuwenda wapi.

Hata hii katiba ikafanikiwa ikamalizika, inahitaji marekebisho hata kabla ya kuanza kutumika ama kabla hata ya kuandikwa, absurd but truth!

We can not solve our problems with the same level of thinking that created them ― Albert Einstein
 
RED HANDED!!! Sasa tumeelewa nyuma ya pazia ya yale mapanga yaliyoonyeswa siku ilee na mkuu,RIP DK.MVUNGIcant believe yaani siasa tu mnataka kumtoa kafara Warioba?????
ben siyo mzima hili andiko mnatembea nalo mfukoni kama sumu mnaweka kila sehemu hii ni dalili ya kuchanganyikiwa mkuu halafu andiko lenyewe la kutunga kwa nini hata sura za aibu hamnazo?
 
Hayo wachovu kishenzi,hawana jipya
wataishi na damu za watu mkononi.
Msangi!! Kuna watu wanaitwa na kujiosha
kuwa ni majasusi wa CCM
Ahmed Msangi,Jack Zoka nao wapo eti
usalama. Tanzania hakuna usalama wa raia
bali usalama wa wauaji kama Mwigulu
,Nchimbi,Kinana nk.
 
kaka hizi ni siasa usikimbilie kuamini na kuacha kabisa kuishirikisha akili yako, kuna msemo unasema ADUI MUOMBEE njaa_usidhani Ben saa 10 anachangia kama wewe unavyochangia_mwenzako katumwa na ni kazi maalum, utakuwa umeona mara MNYAMA ACHINJWE mara hivi_hizo ni propaganda za kuwasaidia MBOWE na SLAA kubaki madarakan na hiyo ni kutokana na msimamo wa ZZK kuwa HATOKI na atakuwa wa MWISHO_kauli hiyo iliwasababisha wakajifungie na hivi ndivyo wanaanza
Je kama Chama Kitasema haitajiki kwa kitendo cha Ushenzi alichokifanya yeye ataendelea kusema haondoki. Kumbuka yale maamuzi si ya Mbowe wala Dr. Slaa, yale ni maamuzi ya Kamati kuu ya Chama na Wanaweza wakaamua kuchukua hatua kali zaidi ya hiyo.

Je yeye anao ubavu gani wa kusema atakuwa wa mwisho kutoka. Dawa ni Kumtimua iwapo hataendelea Kujibizana na Kujibaragua kwenye Media. Hata hivyo swala la kujiuliza Huyu unayemwita Ben Saa 10 hizo e-mail Kaziandika mwenyewe??, na kama ni Wahusika wanaoonekana Kutumiana Mbona Sijaona Unatoa comments zako.

Mwisho kabisa Mimi niko strategically natoa Comments accordingly.
 
Ben saanane ametunga hekaya ya kitoto. makachero wazoefu kama Mwigulu na Dr. Nchimbi kama ingekuwa ni kweli ujumbe usingeweza kuwa wazi kiasi hiko. Ni misukule tu ndiyo inaweza kuamini.
 
Wala magamba yasizungushe maneno,tunataka kupata ukweli wa yaliyoaandikwa hapo,ZZK hapo ndo hachomoki hata kwa GRADER.Hata kama itaicost CDM,huyo aende CCM tu hatumuhitaji.
 
hakuna chama kinachomtaka Zitto, hila CCM kinamtaka Zitto kwa ajili ya kuibomoa Chadema basi hila si kuwa mwanachama wa CCM kwasababu wanajua tu akishajiunga leo kesho atataka kuwa mwenyekiti wa chama wakati list ya majina iliyopo huko yeye kuja kumfikia labda 2050 huko sasa wapi na wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom