Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

Status
Not open for further replies.
<br><br>

Muungwana E.D; tatizo ni MFUMO wa nchi ambao MKUU amebariki kwa mlango wa nyuma. Katika nchi yoyote inayoelekea kwenye UGANDAMIZAJI WA DEMOKKRASIA, CCM kinatishiwa uhai wake madarakani.

Yote haya yanayotokea, WENYE AKILI NA UFAHAMU tunajua MKUU wa nchi; ametoa baraka kwa mlango wa nyuma ili kuangamiza UPINZANI. Chama kikikaa MADARAKANI muda mrefu hujiona MIUNGU WATU, na kutumia kila mbinu OVU kulazimisha kubaki madarakani.

Lakini, sauti ya WENGI haiwezi kunyamzishwa kwa kujaribu kuua harakati za UKOMBOZI.

Kweli Mkuu !
 
Wamezoa huu mchezo wa kubariki huu ujinga kwa kupiga kimya as if nothing happened
Playing dumb ndio trick yao
 
Mpuuzi huyo,

Mimi watu kama hao huwa siwajibu,

Yeye anadhani eti sisi tutaacha kusema ukweli kwamba ndan ya chama hiko kuna ubaguz wa ukanda,udini na ukabila kisa yeye na wahafidhina wake watachukia??

Hakuna kitu kama hicho,dawa ya ukweli ni kuusema tuh,hata kama ni mchungu....

THE BIG SHOW= Arap Sanga wa Bongo... mpalilia machafuko nchini Tanzania kupitia propaganda za ukabila, udini, na ukandana mengine kama hayo. Apigwe vita.
 
Ben Saanane unaikumbuka hiyo ahadi yako hapo juu? Ilikuwa ni kuhusu zile picha za Mbunge wa Arusha kushikishwa ukuta.

Kwa nini nisiamini kwamba kwa sababu mpaka sasa TCRA hawajasema kitu, nyinyi mmeamua kushindana sasa, muone nani anashindwa.

Kwa maana hiyo hapo ndo mwisho wa uwezo wako wa kujibu hoja? Ben Saa8 ameweka thread hiyo ili wahusika waje kujibu, sasa wewe unachofanya ndo kujibu hizo hoja au unaanzisha uzi mwingine ndani ya uzi mmoja?.
 
ulitaka apelekewe mamayo? damu za wenye haki mnazomwaga kila siku zitawalilia hadi kuzimu.badala ya kupambana na wezi,majangili,wauza unga na wabakaji mnahangaika kuwapoteza watz wanaotimiza wajibu wao kwa taifa kuhakikisha wanashiriki kutengeneza katiba ya nchi yao.Siku zenu zinahesabika hapa duniani.

Najua ndo mwisho wako wa kufikiria kwa kutukana ,huwezi kutawala nchi kwa mkakati wa saccoss ya kaskazini!!
 
Hahahaha.......wadau eti mimi mwanaume?tatizo mimi na wewe tunafanana sura hadi uzuri japo akili nimekuzidi ndio maana unadhani mimi ni mwanaume badala ya kujielewa kwamba mimi nakuona wewe kama jinsia yangu.Hiyo michezo yenu ni ya kitoto sana na hamuwezi mshika mchawi kwenye ndumba mnazorogea wenyewe.Acha kutumika mtoto wa kiume utaishia vibaya

Ha ha ha ha...!!

MREMBO NAMBA 8 ANAKUONEA WIVU KWA WEWE KUWA BEUTIFUL KAMA FIRST LADY AU??

AU ANAITAKA SASA NAFASI YA JOSEPHINE NIN??

HUYU SI HUWA ANATUMIWA NA DR,AOMBE TUH NAFASI ILE MAY BE ANAWEZA AKAFIKILIWA,

MAISHA YAMEKUWA MAGUMU SANA HAPA TOWN,KWA VIJANA AMBAO HAWANA SHUGHULI KAMA HAWA LAZIMA WATIE HURUMA NA KUKIMBILIA KWENYE UTAPELI...
 
Huyu nae atakufa tuh humu ndani kama vile alivyokufa yule tapeli mwenzake yericko...

Dawaya vifaranga kama hawa ni kudeal na mama zao wanaowafuga then hawa automatically watakufa natural death
Achana na mambo ya CHADEMA huku kusini tunabakwa na wanajeshi kwasababu ya gesi itoke lakini wewe naona umejikita kwenye anga nyingine tofauti na zamani ulivyokuwa msemaji wetu kwenye mitandao au na wewe umekula rushwa ukatusaliti?
 
Yan Ben Saanane mipango yote hii watumie official mail zao? By the way wewe ukiamua kumkalia mtu kooni kutakuchwa kutakucha upo nae. Najua unaetaka kumlenga hapa ni Zitto.

sixgates,

Yes,I don't quit so easily.

Ukweli,Ukweli na UKWELI

Suluhu ni kurudi kwenye line ya 'reality'.
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh!Ben Kavurugwa tangu zamani na kavurugika zaidi ya waliomvuruga.toka nilivyomfahamu Ben nilimuona hamnazo na nikamshusha tham,ani tangu zamani.Ben sio wa kuaminika anatumika kotekote kwenye maslahi.anasiri zake nyingi tu na zitakuwa wazi mwakani nadhani.tuendelee kusubiri na ataumbuka mtoto wa kiume mwenye tabia za wadada walioshindikana
Huyu dogo Ben kishachanganyikiwa,kwa sbb nasikia alikuwa anataka ssna nafasi ya Makene nasikia imewekwa kiporo.
 
Achana na mambo ya CHADEMA huku kusini tunabakwa na wanajeshi kwasababu ya gesi itoke lakini wewe naona umejikita kwenye anga nyingine tofauti na zamani ulivyokuwa msemaji wetu kwenye mitandao au na wewe umekula rushwa ukatusaliti?
Asha mohamed,
Huyo THE BIG SHOW siyo mwenzenu, tena yupo kwenye kundi la wabakaji. Hana uchungu na maskini wazalendo wa nchi hii ndiyo maana yupo busy kutetea uhaini
 
Last edited by a moderator:
Kitu kimoja nilichojifunza kwenye siasa ni kwamba inabidi uwe mbumbumbu ili upendwe na wakubwa, kwa sababu ukiwa na akili huwezi kutumwa upumbavu ukakubali kuufanya.

Mfano:
1. UVCCM kazi yao moja kubwa ni kuwatafutia madem wale viongozi wakubwa wa CCM, hasa hasa hawa vijana wa chuo, ninayo mifano halisi ya Kina Mwigulu, Jerry Silaa, Benno Malisa etc tena hii ni kutoka kwa wadada husika.

2. Bavicha (ikiongozwa na Ben, Molemo, Mwita, Mungi, Yericko etc) kazi yao kubwa ni kudhoofisha upande wowote ule utakaompinga Mbowe na Dr hata kwa nyaraka za kugushi au za uongo, kazi ambayo kama una akili timamu unajua fika inaharibu credibility yako.

Kitu kimoja cha kunote ni kwamba hii mitandao imetengeza watu wengi kuwa na ufahamu wa mabo mbalimbali hasa unaposoma michango ya watu mbalimbali bila kuwa na upande wowote, ninaamini fika, wahusika wanajijua na wanajua nini wanakifanya.
 
Nina hakika haya yote ni ukweli mtupu...mipango hii inapaswa kudhibitiwa na wanachama na viongozi wa CDM mapema zaidi.. Mwigulu ni bingwa wa siasa chafu wakitumia vyombo vya dola. Lakini nawaambia watahangaika sana lakini CDM imeshaingia kwenye nyoyo za watu na vigumu kurudi nyuma. Watu wanataka mabadiliko. Lakini ni dhahiri kwambai harakati hizi zinazoroteshwa na mafisadi kwa kuamni kuwa siku nchi hii ikienda upinzani...familia zao na hali zao za kiuchumi zitazorota na wengine kuburuzwa mahakamani. Hapa panahitajika nguvu za ziada kwa makamanda kwani upande wa pili wanawatumia watu kama Nchemba na pumba.fu wengine kutekeleza matakwa ya majizi na wabakaji.
 
Eriza umevurugwa mkuu naona hujielewi kabisa hili bandiko la kutunga limewekwa humu na vijana wa mbowe na slaa linamwezi sasa halafu wewe ndiyo linakushughulisha kweli bavicha majanga.

Mwezi wa kwako una siku ngapi? Mbona haya mawasiliano kati ya MWIGURU na NCHIMBI ni ya tarehe 17 Novemba 2013. Jamaa anaandika mambo hatari hivi hakafu anaondoka bila ya log out! Kweli majanga!
 
umeona eeh!Ben Kavurugwa tangu zamani na kavurugika zaidi ya waliomvuruga.toka nilivyomfahamu Ben nilimuona hamnazo na nikamshusha tham,ani tangu zamani.Ben sio wa kuaminika anatumika kotekote kwenye maslahi.anasiri zake nyingi tu na zitakuwa wazi mwakani nadhani.tuendelee kusubiri na ataumbuka mtoto wa kiume mwenye tabia za wadada walioshindikana

Haya siyo maneno ya FirstLady. ID yake inatumiwa vibaya
 
Last edited by a moderator:
THE BIG SHOW= Arap Sanga wa Bongo... mpalilia machafuko nchini Tanzania kupitia propaganda za ukabila, udini, na ukandana mengine kama hayo. Apigwe vita.

Huwez kupalilia machafuko ya ukanda,ukabila na udini kwa kuwakemea chadema wayaache hayo

YANI MIMI NASIMAMA KIDETE KUWAAMBIA VIONGOZ WA CHADEMA WAIFUATE KATIBA YAO NA WAACHE UKANDA,UDINI NA UKABILA THEN UNASEMA MIMI NAPALILIA TENA??

KWELI WEWE MPIGA KELELE,ENDELEA KUPIGA KELELE MKUU...

UDINI,UKANDA NA UKABILA LAZIMA TUUPIGE VITA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom