chai ya rangi
Senior Member
- Mar 7, 2026
- 130
- 403
Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama,
wali mboganboga na kadhalika.
Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini sikupendezwa nayo kabisa. Baadae nikasikia pia kuna menu zaidi kama, ugali burger, piza maharage, ugali ugali, samaki samaki, etc