Mipaka ya asili ya zanzibar

We Bin Faza acha Porojo...
Zanzibar mwisho Chumbe...
Hiyo pwani ina wenyewe ..muda si mrefu vugu vugu la kuitenga Pwani na Tanganyika litaanza...
Na hivi na sisi tushagundua wese huku kusini ...tunatangaza kujitoa Tanganyika soon
 
J.... AU has categorically stated tuheshimu mipaka ya mukoloni.
AU hii inayoomba imeshidwa kukarabati makao makuu yake mpaka imesaidiwa na China ...!! Hakuna kitu hapo...African Unity for Development of Africans AUDA yaja. AU ni jina tu labda kwa wapenda vikao vya kugawana Per diem.
 
Waungwana

Hii ndio ilyokuwa mipaka ya zanzibar katika awamu mbali mbali..... hapa munaona ukubwa wake

Je wakati Zanzibar inashiriki kuunda JMT ilikuwa bado na Ukubwa wa eneo huo huo?
 
Endeleeni tuu, na akili zenu fupi. Ipo siku mtasahau kama mliwahi kuwa na znz huru.
 
Kwa hiyo wewe unatoka kwa county ipi? Pemba na Unguja yatakuwa majimbo yenye magovernor kila mmoja kama itakavyokuwa huku Tanganyika, zanzibar haitakuwepo! Tutakuwa na majimbo, rais mmoja full stop.
 
Ndio maana juzi tu Tibaijuka alianza kuomba tena ongezeko la mipaka ya Tanganyika na vip mwenye kujua atujuze alifanikiwa?
 
Ndio maana juzi tu Tibaijuka alianza kuomba tena ongezeko la mipaka ya Tanganyika na vip mwenye kujua atujuze alifanikiwa?

Wewe ndiyo unajua, utujuze, alafu ebu nisaidie kidogo, aliomba kuongezewa mipaka kama mipaka ya nchi, au mipaka kwa ajili ya matumizi?
Usiwe unaongea pumba jamvini, nenda kamulize Jussa kwanza.
 

Mkuu, uchokozi huo sasa, we watu wenyewe shule walikimbia hadi sasa hivi wanaita hiyo lugha ya mkoloni wanaiita Kikristo, we umewaandikia hivyo, haelewi kabisa!
 
Africa yote ni zanzibar...............hongereni wazanzibar ambao mnahisi mnaonewa sana
 
:Nafikaga mahali na mkumbuka sana Julius Kambarage Nyerere..na Benjamini mkapa...
Viongozi waliokuwa hawataka mambo ya kijinga jinga..
 
Hydobenga,

Unaweza kuhisi ninaporoja, lakini ukweli kikawaida huwa haufutiki hata ukiwekewa majani kwa muda gani ndio maana wahenga wakasema UKWELI UKIDHIHIRI UWONGO HUJITENGA.............siku inakuja utanikumbuka na utakumbuka haya unayoyaita porojo.
 
MpigaKelele

Wakati Jamhuri ya Muungano wa tanzania ilipokuwa inaundwa mkataba wa miaka 99 uliowekwa baina ya zanzibar na mjerumani ulikuwa bado upo. Germany ilisaini mkata wa kuikodi fukwe ya tanganyika hadi 10 miles kuingia barani. Fukwe yote 100% kuanzia kusini hadi tanga hadi mwishi wa bahari katika mpaka wa kenya.

Hizo nyaraka za mkataba bado zipo na soon or later zitakuwa juu ya meza ya UN, i mean as soon as muungano ukivunjika tu

ahsante
 
Ilikuwa ya Zanzibar au ya Sultani wa Zanzibar?

Utumwa mlionao unawasumbua sana. Labda nikuulize swali ili ujione mjinga kwa amani: Wakati Tanganyika inapata Uhuru, uhuru huo ulijumuisha na maeneo hayo au hayo maeneo yalibaki chini ya mume wenu?

Inafanana na mipaka ya Malawi kwamba Ziwa Nyasa liko ndani ya Malawi!

Pia inafanana na Mkataba unaoipa haki Misri na Sudan juu ya kumiliki maji ya Ziwa Victoria!

Pia hiyo mipaka itafanana na ile ya 1884/1885 inayoonyesha Rwanda na Burundi ziko ndani ya Tanganyika!
 
Bangoo

Hao uliwataja walikuwa na agenda za siri ya kuzamisha znz forever

now its tooooooooo late
 
Jerrytz,

Si afrika yote laki east afrika yote kuanzia somalia hadi msumbizi ilikuwa zanzibar. yaani zenj empire.

Hili neno Mozambique unajuwa nini? ni Mussa Bin Mbek, walipokuja wareno walimkuta yeye ndie gavana pale wa zazniabr. hawakuweza kulitamka jina lake na wakawa wanamwita mussambek ikawa Mozambique hii kama ujuwayo wewe.

Kadhi wa Kwanza wa zanziabr 1832 alitokea somalia ya leo, Sheikh Muhidin Bin Abdullah Al Qahtan, kwasababu somalia ilikuwa ni part of zenj empire wakati huo. Ndio maana haikuwa noma kuweka mtu wa huko katika sehemu nyeti kabisa katika uwongzi wa dola ya zanzibar.

Kuhusu zanzibar kuonewa na tanganyika hilo halitaki darubini, mara ngapi nyinyi watanganyika munapeleka jesho lenu kutuuwa kule pemba, kwa kutumia kichaka cha uchaguzi wa siasa.....

ahsante
 
Wewe Mzindu,

Hilo neno shule ni lugha gani?

Nani kasema mtu kujuwa lugha ya kiingilish ndio kasoma sana? hilo ndio linalowaangusha nyinyi wa watanganyika.

Na hiyo aloiandika 007 ni upuuzi mtupu wa wazungu, ukitaka ukweli jaribu kuuliza tuke jawabu na reference books

ahsante
 
Kisimani

its possible but not probable
 
Wa-Ukenyege

U are dreaming, na ndoto huwatokezea wale waliokuwa WAMELALA

Kwashindwa nyerere aje awaze Pengo??????

ahsante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…