Miongoni Mwa Ahadi za Awamu ya Nnne

Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Ndio Haya.....???
 
Kama kuna kitu huwa kinaniumiza ni kuona kina mama/bibi wakiifanya hii kazi tena juani. Huwa naona huruma sana.
........Wengi wao ni wale walioachiwa wajukuu.......
 
........Wengi wao ni wale walioachiwa wajukuu.......

Yawezekana mkuu, vinginevyo ni ngumu sana kufanya hiyo kazi tena kwa umri huo. Wanahitaji kutunzwa na kufanya shughuli ndogo ndogo maana hawana nguvu za pilikapilika kama vijana.
 
Kama kuna kitu huwa kinaniumiza ni kuona kina mama/bibi wakiifanya hii kazi tena juani. Huwa naona huruma sana.

Indeed very sad! Ila hakuenda kuimba ana imani na kasi mpya jumatatu pale Diamond sijui? Maana we have sang that song almost endlessly and nothing good come out of those we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…