Minyoo: Anayejua tiba/dawa za minyoo anisaidie

CAMANGA

Member
May 14, 2023
53
259
Kwa hizi dalili nahisi nina minyoo

Kukosa hamu ya kula yaani CHAKULA hata kiwe kitamu vip huwa hakipandi aisee

Mwili kuhisi uchovu, muda mwingi mwili unajihisi kuchoka hata kama sijafanya kazi

Mwisho sikumbuki mara ya mwisho nilikunywa lini dawa za minyoo

NB: hii Hali ni ya muda mrefu almost miaka 6
 
Kwa hizi dalili nahisi Nina minyoo

.. kukosa hamu ya kula yaani CHAKULA hata kiwe kitamu vip huwa hakipandi aisee


... Mwili kuhisi uchovu, muda mwingi mwili unajihisi kuchoka hata kama sijafanya kazi

... Mwisho sikumbuki mara ya mwisho nilikunywa lini dawa za minyoo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ndo dalili za minyoo hizo?Labda una maralia plusplus.
 
Unywaji wa dawa kiholela ni hatari kwa afya yako mkuu.
Nenda kwa wataalam wa afya wakakusaidie.
 
Back
Top Bottom