J Jeshii Member Joined Jul 9, 2020 Posts 11 Reaction score 0 Jul 29, 2020 #1 Habari zenu wana JF, Naomba mwenye uelewa na hii course anielezee kwenye changamoto ya ajira na nitafanya kazi gani
Habari zenu wana JF, Naomba mwenye uelewa na hii course anielezee kwenye changamoto ya ajira na nitafanya kazi gani
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,059 Jul 29, 2020 #2 Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo
Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,312 Reaction score 12,291 Jul 30, 2020 #3 Kigoma Independent said: Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo Click to expand... Mkuu sio kirahisi rahisi hivyo
Kigoma Independent said: Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo Click to expand... Mkuu sio kirahisi rahisi hivyo
J Jeshii Member Joined Jul 9, 2020 Posts 11 Reaction score 0 Jul 31, 2020 Thread starter #4 Kigoma Independent said: Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo Click to expand... nashukuru kwa hilo mkuu
Kigoma Independent said: Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo Click to expand... nashukuru kwa hilo mkuu
J Jeshii Member Joined Jul 9, 2020 Posts 11 Reaction score 0 Jul 31, 2020 Thread starter #5 Meneja Wa Makampuni said: Mkuu sio kirahisi rahisi hivyo Click to expand... kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulie
Meneja Wa Makampuni said: Mkuu sio kirahisi rahisi hivyo Click to expand... kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulie
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,312 Reaction score 12,291 Jul 31, 2020 #6 Jeshii said: kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulie Click to expand... Haina uwanja mpana wa ajira na kujiajiri. kasome mechanical, chemical au electrical
Jeshii said: kwa nini sio rahisi mkuu naomba y ifafanulie Click to expand... Haina uwanja mpana wa ajira na kujiajiri. kasome mechanical, chemical au electrical
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,544 Reaction score 2,694 Jul 31, 2020 #7 Hyo kozi usijsrbu wengi tumeishia kufundisha tuition mtaani
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,796 Reaction score 8,394 Jul 31, 2020 #8 chlorine gas said: Hyo kozi usijsrbu wengi tumeishia kufundisha tuition mtaani Click to expand... Ila migodi mingi mkuu.
chlorine gas said: Hyo kozi usijsrbu wengi tumeishia kufundisha tuition mtaani Click to expand... Ila migodi mingi mkuu.