Bro tigo iko vizur mfano now wana kifurushi cha ofa maalum ndani yake kuna kifurushi cha dakika 20 bila kikomo ambacho pia unapata 175mb kwa shilling 1000 ambacho unatumia mpaka pale zitakapoisha asa utapata wapi vitu km hivi mtandao mwingine
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kuhusu mabadiliko ya vifungu vya Mini-Kabang vya Tigo. Kwa kweli hivi ndivyo vilinisababisha kuendelea kufuruhia mtandao wetu pendwa wa Tigo..Lakini marekebisho waliyoweka yako juu na yatakuwa yanatunyonya wala hayajakaa kiushindani wa biashara ya mawasiliano Tanzania. Hii inafanya Tigo kuwa na garama za juu kuliko mtandao wowote wa mawasiliano Africa Mashariki na Kati.
Plse, Tigo fikirieni hili kabla ya kutekeleza, tena mmetekeleza kimya kimya!!
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.
Hivi ndio maana kwenye whatsapp nashindwa hata kudownload picha siku ya pili sasa
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.
Tatizo la huu mtandao wanachoongea kwenye matangazo na wanachokata ni tofauti..
.........niliwaona wapuuzi pale walipokuwa wanasema ukijiunga tiGo kwenda mitandao yote unapata dk 30, ukijiunga. tu, wanakupa dk 10 mitandao yote !
Eti kuna siku wananipigia na kuniuliza kuwa 'mbona una Blackberry lakini. hujiungi' ?
Tigo wanazidi kufukuza wateja. Eti huwezi ingia internet ukiwa na MB kama simu haina salio la 150.