collinswilliam63
Member
- Oct 12, 2014
- 78
- 48
Hongera CollinsHabari,
Tumeanzisha kampuni ya Mineral Consultant itakayokua inajihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na Coal. Mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako kubwa ni kupata dhahabu tu, then tutakuongoza katika njia sahihi ili uweze kupata dhahabu. Pia kama unapata poor recovery katika Plant/Mgodi then tutakushauri ni jinsi gani ya kuongeza recovery na kukushauri kuhusiana na Kemikali sahihi za kutumia katika mgodi wako.
Tunatoa pia huduma za Training katika migodi mbalimbali kuhusiana na mambo ya Mining, Mineral Processing na mengineyo
Gharama zetu ni nafuu sana na kampuni ina Engineers waliokaa katika sekta ya Mining, Mineral Processing na Extractive Metallurgy kwa zaidi ya miaka 5.
Ofisi zetu zipo maeneo ya Ununio mwisho karibu na Chuo cha Islamic
Karibuni
Mawasiliano 0626 911 506
Hongera Collins
Sasa straight to the topic
Jee, unahusika na vitalu vyenye daimonds?
Ok nashukuru sana kwa maelezo...siajaabu wala sii mbali sana karibu nitawasiliana nawe ktkAhsante Zamiluni,
Hatuna kitalu chochote chenye diamond ila we can help you katika mining na processing ya diamond mpaka unapata your product.
Likewise, kama unataka kununua madini yoyote kama dhahabu na silver then tunaweza kutoa huduma ya kukusaidia kununua kitu halisi na sio fake
Asante kwa kazi nzuri mimi nina leseni za gypsum ninaitaji watu wa kushilikiana tuchimbe wote mnaweza kunisaidia pia ninazo za coal
Ok nashukuru sana kwa maelezo...siajaabu wala sii mbali sana karibu nitawasiliana nawe ktk
maudhui na shughuli hizi kwa faida ya wote (mitual understandings)
Ahsante....
Sawa nitumie email yako gypsum ziko kilwa makanganga na coal ziko songea ruanda na njombe ludewa chuma ziko handeni tangaNashukuru sana kunipa moyo na nitashukuru pia kama ukinipatia information (Location, quantity, quality) kuhusiana na hivo vitalu vyenye Gypsum na Coal.
Ahsante
Sawa nitumie email yako gypsum ziko kilwa makanganga na coal ziko songea ruanda na njombe ludewa chuma ziko handeni tanga
Poa [emoji106]