atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Maeneo kama Arusha vp minazi inakubali kweli?,mm nadhan pwani zaid
Kama minazi inahudumiwa vizuri kwa kuwekewa mbolea ya samadi, kuondoa takataka juu ya mnazi na kupaliliwa mnazi mmoja unaweza kukupa nazi 200-300 kwa mwaka.Mti mmoja wa Nazi unazaa kiasi gani cha Nazi kwa msimu na hali kadhalika kwenye Mkorosho?
ata pombe ya mnazi ni bora kuliko pombe zote!!! yaani haitengenezwi,inajitengeneza yenyewe!!!!,Kwanza kimsingi Kabisa kilimo cha nchi zetu hizi za kimaskini return yake huwa ni ndogo sana tunalima basi tu ku jikeep busy na walahu kupata chakula ila kutoboa ni uongo ndo maana wakulima ni wengi miaka yote maisha yao unayaona yalivyo.Kwa wale wakazi tunaoishi mikoa ya pwani na hasa pwani ya kusini lindi, Mtwara na pwani yenyewe kuna mazao mawili maarufu sana mikorosho na minazi.Kwa mawazo yangu mimi nimeona kuna faida kuwekeza kwenye minazi zaidi kwa sababu.
1. Minazi haithariwi na mabadiliko ya hali ya hewa hata mvua inyeshe isinyeshe yenyewe itazaa kama kawaida, halafu minazi unaponunua tu shamba instantly unaanza kuvuna ila mikorosho ukisema uipande leo itabidi ukae miaka mitatu ukiihudumia ndipo ianze kutoa korosho.
2. Operation cost za minazi ni ndogo mfano shamba la minazi 100 unaweza ukawa na wakwezi wawili tu wanaosafisha minazi na kupanda na kuangua na hata malipo yao yanatokana nazi hizohizo utakazoangushiwa ila mikorosho yenyewe gharama kwenye kuandaa shamba, madawa na hata kwenye kuvuna yaani kila kipengele kinahitaji watu kama shamba kubwa lazima ulete kikundi cha watu 40 na wote wanahitaji hela.
3. Bei ya nazi inazidi kupanda maradufu na kila baada ya miezi mitatu unavuna nazi imagine mnazi mmoja ukatoa nazi 50 na una minazi 200 kila baada ya miezi mitatu unavuna nazi 1000 tufanye kila nazi unauza 700 maana yake una 700000 sio haba sana kama una mishe zako nyingine. Ila mikorosho haileweki kuna mwaka chali hupati kitu kisa mvua kubwa na bado bei inabadilika badilika.
NB: Shamba la minazi mikubwa kuanzia minazi 50 unaweza kuuziwa kwenye million 5 hivi mtu akiwa na shida.
[emoji849][emoji849]ata pombe ya mnazi ni bora kuliko pombe zote!!! yaani haitengenezwi,inajitengeneza yenyewe!!!!,
Mbeya minazi ipo sana sana Kyela ipo tele zinataka sehemu za mchanga na joto.Hivi nikihitaji mbegu za nazi naweza kuzipata? Je ukipanda sehemu kama mbeya zitasitawi?
Je kwa huko mbegu zinauzwaje? Zinachukua muda gani mpaka zianze kuvunwa?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Minazi ni eneo la Pwani tu inasitawi na kuzaa vizuri na maeneo yenye jotoMbegu za mche wa mnazi 3000-5000
Zinachukua miaka 4-5 kukua
Kuhusu kukubali Mbeya sina uhakika ila minazi inakubali vyote vyote majimaji na sehemu za joto pia.
Nainywa sana kuna mzungu anakuja kila siku ubanda wa jirani ananunua lita 5ata pombe ya mnazi ni bora kuliko pombe zote!!! yaani haitengenezwi,inajitengeneza yenyewe!!!!,
bonge ya pombe mwanangu!!Nainywa sana kuna mzungu anakuja kila siku ubanda wa jirani ananunua lita 5
Elezea kwa undani nduguKuna utajiri mkubwa sana kwenye kilimo cha minazi. Kwanza kama una ardhi gharama za kuanzia siyo kubwa ukilinganisha na mazao mengne. Minazi haihitaji huduma nyingi kama mazao mengine. Mtu mwenye minazi 300 tu kwa mfano inayozaa vizuri ambayo kama kila mnazi utampa nazi 200 tu kwa mwaka na kila nazi akauza kwa Tsh1000 anaweza kupata hadi Tsh60,000,000. Pia, makumbi ya nazi yanatoa kamba nzuri kama za mkonge ambazo ni mali pia. Kwenye bidhaa za minazi kuna makapeti na mambo chungu nzima. Kwa muhtasari, value chain ya mnazi ni kubwa sana. Tatizo ni kuwa wengi wetu hatuna maarifa na tunataka pesa za harakaharaka.
Ngoja nirudi shambaKorosho ina pesa naongea hivyo kwasababu ninalima mazao yote hayo
Ukinunua shamba na kupanda mwenyewe itachukua muda gani kuanza kuvuna?Kwanza kimsingi Kabisa kilimo cha nchi zetu hizi za kimaskini return yake huwa ni ndogo sana tunalima basi tu ku jikeep busy na walau kupata chakula ila kutoboa ni uongo ndo maana wakulima ni wengi miaka yote maisha yao unayaona yalivyo. Kwa wale wakazi tunaoishi mikoa ya pwani na hasa pwani ya kusini Lindi, Mtwara na pwani yenyewe kuna mazao mawili maarufu sana mikorosho na minazi.Kwa mawazo yangu mimi nimeona kuna faida kuwekeza kwenye minazi zaidi kwa sababu.
1. Minazi haithariwi na mabadiliko ya hali ya hewa hata mvua inyeshe isinyeshe yenyewe itazaa kama kawaida, halafu minazi unaponunua tu shamba instantly unaanza kuvuna ila mikorosho ukisema uipande leo itabidi ukae miaka mitatu ukiihudumia ndipo ianze kutoa korosho.
2. Operation cost za minazi ni ndogo mfano shamba la minazi 100 unaweza ukawa na wakwezi wawili tu wanaosafisha minazi na kupanda na kuangua na hata malipo yao yanatokana nazi hizohizo utakazoangushiwa ila mikorosho yenyewe gharama kwenye kuandaa shamba, madawa na hata kwenye kuvuna yaani kila kipengele kinahitaji watu kama shamba kubwa lazima ulete kikundi cha watu 40 na wote wanahitaji hela.
3. Bei ya nazi inazidi kupanda maradufu na kila baada ya miezi mitatu unavuna nazi imagine mnazi mmoja ukatoa nazi 50 na una minazi 200 kila baada ya miezi mitatu unavuna nazi 1000 tufanye kila nazi unauza 700 maana yake una 700000 sio haba sana kama una mishe zako nyingine. Ila mikorosho haileweki kuna mwaka chali hupati kitu kisa mvua kubwa na bado bei inabadilika badilika.
NB: Shamba la minazi mikubwa kuanzia minazi 50 unaweza kuuziwa kwenye million 5 hivi mtu akiwa na shida.
Ukinunua shamba na kupanda mwenyewe itachukua muda gani kuanza kuvuna?