Minakians

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
wakuu wa kinyanyiko mpooooo . Watoto wa mjare na kaaya mpooooooo . Salaamu zenu kutoka kwa mama kiungai na sogoi .halafu wakuu tulikuwa natu vifaidi vitoto vya zanaki na mara moja moja jangwani vilikuwa vinakuja welcome form five na graduation . wazee wa kudrop kisarawe na pugu kajiungeni mpooo
MIRAMBO, MAKONGORO , LUMUMBA ,MNYAMPALA, SHABANI ROBERT ,MILAMBO VIVA TUTARUDI KUCHANGIA NA KURUDISHA HESHIMA . SALAMU KWA JIRANI ZANGU WA PUGU NILIKUWA SIKU MOJA MOJA NA DROP KUDOEA WALI WENU NA MAHARAGE .
 
Maganga (kama ni Maganga wa Makongoro) vipi unawasiliana na Mzee GOnzi (mpishi mkuu) na Mzee Kashi????Minaki pamechoka sana; kama tunatafutana ni afadhali tuangalie jinsi ya kuchangia walau kurenovate bweni moja kwani hali ya shule yetu ni mbovu mno!!!Hivi kuna anayejua Mwalimu Mtesigwa (FAZA) alitokomea wapi???
 
Hhahaha....umenikumbusha mbali sana,....ile DCM ya Lady Nyambala Buguruni-Msanga bado ipo?...mngurumo wake ukifika kinyanyiko tayari watu wa mirambo washatambua ni mlio ghani....sitamsahau mzee mnoko Sogoi,mama Kiungai na mwalimu wangu wa physics Banoba!....dah namisi kichizi mihogo ya mama kinyogoli na tembele za mama nanihiii.....!dah...
 
shule niliyosoma mlikuwa mnapenda sana kutualika kwenye matamasha yenu. Yaani bila sisi mlikuwa hamsikii raha. Najua ushajua shule gani.

Zanaki kweli walikuwa wanaturusha vilivyo! viburudisho muruwaaaaa!
 
Back
Top Bottom