Minaki secondary School-Kisarawe

Minaki secondary School-Kisarawe

Magrethw

New Member
Joined
May 10, 2013
Posts
4
Reaction score
5
WanaJF habari zenu,naombeni kufahamu kuhusu shule ya minaki mwanangu kachaguliwa nataka kumpeleka.Je mazingira yapo vizuri kuruhusu mwanafunzi kusoma vema? Na walimu wapo?
 
Amechaguliwa mchepuo(combination) gani
 
Shule ina mazingira mazuri ile pia ni shule kutegemewa na yenye historia nzuri. Nadhani yuko sehemu sahihi.

Suala la waalimu siwezi kujua kama wapo au lah ila mazingira ya pale yanampa ruhusa nzuri mtoto kujisomea na pia historia ya shule.
 
nina wakwangu kachaguliwa EGM please ninaomba ushauri anatokea shule ya seminary mikoa ya kaskazini
Kachaguliwa Minaki? Kama ndio aende akapambane atatoboa. EGM sio kombi ngumu, ni rahisi kufaulu.

Hiyo kombi kwa shule za Pugu, Minaki wanafunzi wanatoboa vizuri tu.

Kikubwa umueleze, Shule ya Serikali na Seminary ni tofauti. Shule ya serikali hakuna kutafuniwa kama ilivyo seminary, ni kupambana kwa asilimia kubwa.
 
Shule ina mazingira mazuri ile pia ni shule kutegemewa na yenye historia nzuri. Nadhani yuko sehemu sahihi.

Suala la waalimu siwezi kujua kama wapo au lah ila mazingira ya pale yanampa ruhusa nzuri mtoto kujisomea na pia historia ya shule.
Sana sana. Kina Mzee mkapa. Na wengineo walisoma pale. Mwenzenu kidato cha 5 na 6 nilikuwa pale. Maisha yangu yalitengezwa pale. Pazuri. Sina uhakika na ualimu wao kwa sasa. Ila mpeleke tu pako vizuri mno mno
 
Kachaguliwa Minaki? Kama ndio aende akapambane atatoboa. EGM sio kombi ngumu, ni rahisi kufaulu.

Hiyo kombi kwa shule za Pugu, Minaki wanafunzi wanatoboa vizuri tu.

Kikubwa umueleze, Shule ya Serikali na Seminary ni tofauti. Shule ya serikali hakuna kutafuniwa kama ilivyo seminary, ni kupambana kwa asilimia kubwa.
asante sana
 
FUNGUS ilitutesa sana hapo Minaki enzi za zamani japo sijui kama bado yapo au laah.
EGM na HGE enzi zetu zile tayari angeshapata div 3 kabla ya kufika shule na akifika tu shule anayo 2 tayari ...akipiga kitabu kidogo anayo 1.

Mwambie akakaze buti...

Hahaha umenikumbusha Second Master wetu advance shule moja ile tumefika form 5 akawa anatukaribisha kwamba kuchaguliwa tu kujiunga hapa una division two tayari ni ww tu kuilinda au kuibomoa!
 
Shule n iko bora sana akakaze buti tu atafaulu vizuri mnooh.
 
Sana sana. Kina Mzee mkapa. Na wengineo walisoma pale. Mwenzenu kidato cha 5 na 6 nilikuwa pale. Maisha yangu yalitengezwa pale. Pazuri. Sina uhakika na ualimu wao kwa sasa. Ila mpeleke tu pako vizuri mno mno
Moja ya shule bora kabisa.
Tumepitia hapo na Jafo akiwa waziri wa chakula
 
Very underrated ...nilipita late eighties ..piga soka sana, mbege, kinibu na tulicheza sana kidude..
 
Mbege mlikuwa mnapigia Kisarawe?
Sisi tulikuwa chini ya uongozi wa Mr. Mjale, moja ya
Mkuu wa shule aliyekuwa mkali kupitiliza, wanafunzi na waalimu walimwogopa kupitiliza.
Alikuwa anaongea kama Nyerere...ole wako uingie kwenye 18 zake huna bahati.
Mazingira ya shule kwa kusoma ni mazuri hasa kwa mwanafunzi anayejua maana ya elimu
 
Shule ipo poa tu
Ealimu wapo wengi sana sana
Ila mateacher wa shule za serikali nazani unajua ufundishaji wao

Weekend kuzura ni free sana gongo la mboto na kisarawe
 
Back
Top Bottom